Spare Avatar Kwa Mtu Maalum!

Spare Avatar Kwa Mtu Maalum!

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,280
Hii avatar ni maalum kwa miss chagga

A ROSE.jpg
 
Last edited by a moderator:
Sawa ya chagga basi msubiri anajipodoa na usichoki kumsubiri na cha mvunguni sherti uiname
 
Ondoa hilo bonge la swali kichwani mwako Mshana Jr.Hiyo rose niliipenda sana nikaona linamfaa miss chagga. Sina cha zaidi ya hapo kiongozi wangu!

SHIEKA hakuna shida ndugu yangu kinachoniacha na maswali ni Huyu bidada MISS CHAGGA alivyo na ndele kali yani haipiti wk bila kukosa post ya kumfyagilia
 
Last edited by a moderator:
SHIEKA hakuna shida ndugu yangu kinachoniacha na maswali ni Huyu bidada MISS CHAGGA alivyo na ndele kali yani haipiti wk bila kukosa post ya kumfyagilia

Na nimefanikiwa kupata foto yake original kabisa 1406892922988.jpg natural beauty
 
Back
Top Bottom