Nassib Sanga
Senior Member
- Aug 11, 2012
- 169
- 110
Jana nimeangalia television kikao cha EAC na nimeona South Sudan imekuwa admitted katika jumuiya yetu ya Afrika Mashariki. Nadhani hii inaweza kuwa nafasi kwa wafanyabiashara kupeleka vitu kule maana South Sudan almost wanahitaji kila kitu.