South Africa: President Jacob Zuma agrees to resign his office with immediate effect

Safi sana. Japo ume-quote mzima wa mleta mada. Ila umeandika comment murua sana. Good one!
 
"No lives should be lost in my name, and the ANC should never be divide in my name."
---Jacob Zuma
Bado Mmoja katika SADC ambaye anapingana na kauli hiyo ya busara ya J. Zuma. Kweli ni kauli yenye BUSARA.

Huyu aliyebaki anasema: SIJIUZULU NG`O MPAKA DAMU YA MAMILIONI IMWAGIKE`. ´Time will tell.
 


profftobe ,
Mkuu,
Tuna watu vichwa Nazi sana.
Hapo wameishapiga pini. Binafsi, nimeisha jaza form za uraia wa huku New Zealand yaani wakibadili tu katiba kuwa rais wa milele au kutoa miaka 5 hadi 7 kwa term basi nauaga utanzania rasmi.

Huwa sipendi upoyoyo wa kidikteta uchwara mbuzi kama wa M7 na Kagame, Kabila na wengine kama hao uchwara mbuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…