SOUTH AFRICA: Limpopo pastor sprays Doom on congregants to 'heal them'

maisha yakiwa magumu na magonjwa yakiandama hizi ishu huwa kawaida.
 
Mchungaji mmoja huko nchini Africa ya kusini awafanyia maombi waumini wake kwa kutumia dawa ya mbu kwa kuwapulizia usoni na sehemu mbalimbli za mwili,baada ya taarifa hizo kuzagaa sana kwenye mitandao kampuni inayotengeneza dawa hizo imemtaka mchungaji huyo kuacha mara moja kutumia dawa hiyo katika shughuli zake.

wachungaji katika ubora wao,na haya anayoyafanya ukimuuliza anakutolea vifungu katika bible,hizi bible ziko ngapi jamani?
 
Kwahiyo mtu na akili zako timamu unakubali kupuliziwa dawa ya kuulia mbu.
 
nimeshindwa kuweka pic wandugu
source:millard ayo
wp-1479741918614.png
 
Waumini wa dizaini hiyo wanakuwa wamefanyiwa mazingaombwe au akili za usiku!! hii dunia ina watu wapumbafu kinoma, wengi wao wakiwa wamejazana misikitini na makanisani!!
 
msikitini toa,huko hakuna wapumbavu,vioja kila leo vinaletwa na wachungaji
 
I hate balokole lakini kwenye imani hakuna kisichowezekana

Je! mwajua kuwa nyoka huyuhuyu adui yetu na mwenye sumu kali alitumika kama tiba katika kitabu cha kutoka?

Je! mwafahamu kuwa maji kabisa yalibadilishwa kuwa kilevi aina ya divai kwenye arusi ya kana?

Je ! mwafahamu kuwa wakatoliki na watu wa imani nyingine huyatumia maji ya kawaida na kutabarika na kuyaita maji ya baraka na hatimae kuyatumia kwenye tiba na kufukuza mapepo na nuksi?

Sijaona cha ajabu hapo ambacho hakijawahi kutokea kwenye jicho la imani
 
alaaa
 
Sio kwa kizazi hiki!
 
Duh.....!!!!
Mungu atunisuru kwa akili hizi sio bure.
So ungeambiwa ule ma..vi ungekula sababu hakuna kinachoshindikana kwa Mungu???
Si vyema kukubali kila tunacholetewa ni vizuri kuhoji na kukataa kabisaa na pia kuelimisha wengine katika njia iliyo njema.
 
Back
Top Bottom