South Africa heads for new DRC war

South Africa heads for new DRC war

Siku ICTR ikitenda haki yaani waliohusika na mauaji ya watu mwaka 1990 mpaka 1994 Rwanda wote wafikishwe mahakamani bila kujali x-FAR wala RPF na pia waliohusika na mauaji ya mashariki mwa DRC nao wafikishwe ICTR, am telling you tutafungua magereza mengine kama mikoa mitano maana naamini kwamba anaishinda vita ndiye anakuwa ameua zaidi

na hilo jambo ndilo linalomfanya kagame aogope watu 1500!, ni kwa sababu hawa 1500 ni wakimbizi wa mauaji yake. wakiachiwa waongee siasa watakumbushia kilichopelekea wao kujikuta DRC. Hivyo anafanya kila mbinu warudishwe kimya kimya wawe chini yake ili historia hii ifutike.
 
Hope TZ na SA tutalisimamia hilo. Jamaa anaweza akaanza kuwaua wakirudi kwao rwanda.

Ni bora wafe katika ardhi yao Rwanda, na wala si ndani ya Congo.
Ili ijulikane moja tu, kwamba amewaua PK.
 
South Africa has mining interest DR Congo. Tanzania inayo masilahi yapi. DR Congo? Issue ya FDLR tumelishikia bango kweli- lipo jambo!
 
Back
Top Bottom