Kibiashara, kampuni yoyote inayotaka kutoa bidhaa zake nje ya nchi lazima ijue mahitaji ya wateja wa huko na hali halisi ya ubora wa bidhaa hiyo kulingana na hali ya hewa n.k. zipo condom kubwa tu kulingana na vipimo mbalimbali, hao walioagiza hizo condom za kike wameingia chaka kutokana na ama kutokujua vipimo halisi au uroho wa pesa, kama wanavyofanya wafanya biashara wa vifaa vya electronics. Tatizo hasa huwa kwa wafanya biashara wa kiafrika wanaoagiza, si viwanda vinavyotengeneza. Maana hivyohivyo viwanda hupeleka bidhaa zao Ulaya na Amerika.