South Africa: Condom toka China zapigwa marufuku

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
245
Mamlaka ya Uthibiti ya South Africa Imepiga marufu zaidi ya Kondomu za kike milion 12 kwa kuwa NDOGO hi inamaanisha wachina wanatengeneza condomu kwa maumbile yao au maana hata za Kiume ni Ndogo ka kidole↲
Gthinkerz JF
 
Mbona Jeans na Sneakers wanatengeneza kubwa hata wachezaji NBA wanavaa, halafu ndio wapelekee wenzao 'vikondom' vya size yao! Wamekaa kibishara sana waChina wanaweka utu pembeni, vikondom vodogo hivyo kupasuka nje nje akitumia mtu mwenye maumbile ya kiAfrica!
 
Kondom za kike zinakuwaje ndogo bhana!? Zile si huwa ni free size!!? Ina maana madem wa kisauzi wana vibeseni teh...........
 
Ila hii ya wachina ni kiboko yaani wao walidhani waafrica wana vitundu kama vyao???
 
Mahakama nchini SA imezuia ununuzi na usambazaji wa kondomu zilizotoka china kwa kuwa ni fupi. Source: mwananchi.
 
wachina mitambo yao midogo sana kwa hiyo ndio maana wanafanya hivyo hasa copy and pest na wao nibiashara kwenda mbele hawarudi nyuma hata kidogo chochote wanaweza kutengeneza
 
Mahakama nchini SA imezuia ununuzi na usambazaji wa kondomu zilizotoka china kwa kuwa ni fupi. Source: mwananchi.

Try to be specific! Ni condom za kike. Kumezuka mtindo humu jamvini watu kuto thread ambazo ni fupi kiasi hazieleweki. Tusiwe wavivu kiasi hiki. Hapa tunajuzana na kufundishana. Tukitoa threads ambazo ni very short tutapoteza nia hizi mbili
 
Kibiashara, kampuni yoyote inayotaka kutoa bidhaa zake nje ya nchi lazima ijue mahitaji ya wateja wa huko na hali halisi ya ubora wa bidhaa hiyo kulingana na hali ya hewa n.k. zipo condom kubwa tu kulingana na vipimo mbalimbali, hao walioagiza hizo condom za kike wameingia chaka kutokana na ama kutokujua vipimo halisi au uroho wa pesa, kama wanavyofanya wafanya biashara wa vifaa vya electronics. Tatizo hasa huwa kwa wafanya biashara wa kiafrika wanaoagiza, si viwanda vinavyotengeneza. Maana hivyohivyo viwanda hupeleka bidhaa zao Ulaya na Amerika.
 
Tatizo sisi tunaanza mapenzi mapema mno mtu akifikia miaka 30 ni lapulapu
 
Lakini wachina nao walitakiwa kuangalia na aina ya wateja wao. Waafrika siyo kama wale watu wa asia.
 
Mbona Jeans na Sneakers wanatengeneza kubwa hata wachezaji NBA wanavaa, halafu ndio wapelekee wenzao 'vikondom' vya size yao! Wamekaa kibishara sana waChina wanaweka utu pembeni, vikondom vodogo hivyo kupasuka nje nje akitumia mtu mwenye maumbile ya kiAfrica!


hawa wachina bure kabisa... yaani toka walipolishwa hiyo slogan yao ya china ONE... wao wanafikiri watu wote wana office pic kama wao... hawajua kuna njemba zikitaka kujisaidia haja ndogo zina binua ukiono wa sarawili au kaputura... coz ngoma inagonga besela kunako ugoko so akifungua zipu hawezi kushika kichwa...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom