South Africa Airways inapumulia mipira, yaiomba serikali $400 Million

Hii kitu haiwezekani kwasababu ya aina ya majirani tulionao, tulisha jaribu ikashindikana.

Nimeikuta hii sehemu:


Ugandan officials balked when they discovered that the rise EAA was to serve only Kenya’s national beer, Tusker, a strong symbol of Kenyan pride. This upset Ugandans who wanted their own beers on board, in addition to their potent gin, Waragi. They filed an official complaint with the EAC’s Kenya rep, who claimed it had nothing to do with nationalism, despite the Tusker label, which read “My Beer, My Country.” Instead, it was purely about economics. Tusker was sold in lightweight disposable bottles, not heavy glass ones, which meant the airline could stock twice as many, serve more customers and make more money.

Fights over beer rise may sound trivial, but stakes were high. The airline’s international routes allowed it to compete with the biggest names in aviation at the time KLM, Pan American, Air France and “literally and figuratively put East Africa on the map,” according to Scharff.

In many ways the business battles were unsurprising in light of the vastly different postcolonial governing styles and economic ideologies. You had capitalism in Kenya under the business-minded Jomo Kenyatta, socialism in Tanzania under Nyerere and militarism in Uganda under the infamous and brutal Milton Obote and Idi Amin. Kenyatta’s forward-thinking capitalism differed vastly from Nyerere’s socialism, which would ultimately doom his economy. In Uganda, things were OK for the first couple of years, but then Obote was kicked out in a coup in 1971, and Amin, with next to no business acumen, took power. That didn’t sit well with either Tanzania or Kenya, and sparked serious regional tensions. Suspicions were so high that Tanzania’s government-owned newspaper published an editorial claiming the British and Israelis were conspiring to bust up EAA to benefit Kenya, already the regional economic powerhouse.

Even the location of maintenance facilities caused drama. Kenya traditionally had the best facilities and maintenance crews, and ticket sales went back to the airline’s headquarters in Kenya, but Uganda and Tanzania were understandably jealous. Kenyan Cabinet Minister Bruce Mackenzie was an alleged “secret agent” for British and Israeli intelligence, both of which led a “vigorous campaign” to bring down EAA, according to My Footprints on the Sands of Time, a memoir by Kenyan historian Bethwell Allan Ogot.

Many suspect that the Kenyans were trying to run EAA into the ground so they could pick up the pieces and create their own national airline, which they did. By February 1977, EAA was saddled with $120 million in debt, and the National Bank of Kenya had underwritten four years worth of massive loans. Uganda and Tanzania refused to make payments, forcing the bank to close the accounts. EAA couldn’t pay its fuel bills, which led to Shell Oil cutting off the fleet’s fuel supply.

Kenya, which already had maintenance crews, facilities and pilots, pounced. It took what planes it could and repainted them, launching Kenya Airways two days later, which ended up being one of the “most successful African airlines of all time,” says Scharff. And Ugandans, Tanzanians and Kenyans would never again gather on the rooftop of the Nairobi airport to watch the planes take off for faraway places.
 
Wao ni wao na sisi ni sisi.
Kuna mifano mingi ya mashirika ya ndege ambayo ni successful. Though I agree hii biashara sio for the dimwitted!
My personal opinion ni kwamba kuna haja ya Afrika Mashariki (EAC) kushirikiana na kuwa na shirika moja la ndege
Ni jambo la kuepuka kabisa kuwa na shirika la ndege moja na wakenya. lile la mwanzo ndege zote mmechukua wao... Mnataka kutuchukulia mpaka Bombardier zetu? Kheri kila mbuzi ale kutokana na urefi wa kamba yake tu
 
barafu njoo tia neno hapa
Hali yao ni mbaya sana,ndio maana basi,wameamua kupunguza safari zao za ndege kuelekea sehemu mbalimbali za Afrika na nje ya Africa.Kwa mfano Tanzania walikuwa wankuja kila siku mara mbili...Yaani mchana na jioni,ile ya jioni ilikuwa na night stop hivyo ikawa inaondoka alfajiri

Sasa wamepunguza flight ya mchana,wanakuja mara chache sana kwa flight zile za mchana...Hii ni dalili ya hiki unachoona kimeletwa ktk uzi huu
 
Mazingira haya magumu ya biashara ya anga yakiangaliwa kwa makini yanaweza kuwa ni kengele za kuwaamsha ( wake up call ) wataalam na wadau wa shirika changa la ATCL la serikali ya Tanzania iwapo viongozi hawatakuwa wakiendelea kubeza tahadhali hizi kuwa zinatoka kwa maadui au wasaliti wasioitakia mema nchi ya Tanzania.

ATCL changa haina ushindani, inatakiwa kujikita katika kukamata soko la ndani kwanza kisha la kikanda kwani maeneo haya yako wazi, yanahitaji huduma
 
Ni jambo la kuepuka kabisa kuwa na shirika la ndege moja na wakenya. lile la mwanzo ndege zote mmechukua wao... Mnataka kutuchukulia mpaka Bombardier zetu? Kheri kila mbuzi ale kutokana na urefi wa kamba yake tu
Ule ulikuwa ni ujinga wa enzi zile. Lakini tukikaa vhini na mikataba Mizuri inaeezekana kabisa.
 
ATCL changa haina ushindani, inatakiwa kujikita katika kukamata soko la ndani kwanza kisha la kikanda kwani maeneo haya yako wazi, yanahitaji huduma

Tuna hakika gani haya maeneo yanahitaji huduma? Load factor ya ATCL kwa sasa ni ngapi, viti vingapi katika mia vinakaliwa?

Kama kwa sasa load factor ni 100% then tutasema wanahitaji huduma, lakini ndege zenyewe kama hazijai basi hatujui kama wanahitaji kuongeza huduma.
 
Angewekeza kwenye kilimo na kutafuta soko la uhakika nje ya Nchi na pia kuwekeza kwenye Elimu tungepata faida kwenye Ndege sidhani kama tutapata faida ikiwa SA mapato yanaongezeka ila kila mwaka wanaingia hasara na sababu yao kubwa ni Rand kutokua Strong against USD Mara ishuke sana na ipande sana kupelekea kupata hasara...wanahitaji 400million dollars...ili wawe katika bleak even point mwaka 2021...
Bleak Even=Break Even to the year 2020.
 
Tanzania hawataweza hii biashara ya ndege, tuko hapa. Kama SAA na KQ ndio zina-struggle hivyo na zimekuwa na Fleet kubwa ya ndege kwa muda mrefu, Management Expertise na Well Trained and Disciplined Crew, sisi tutaweza kwa miujiza ipi.

Na kama kawa, watachukuliwa "Makada" kwenda kui-run hilo shirika without due regard to their ability, integrity or experience na matokeo tutayaona tu tena, not in a foreseeable future.
 
Load factor pekeyake si kigezo cha kuonesha uhitaji, kiongozi bora hupanga mikakati ya kuongeza load factor ikiwa i chini
Tuna hakika gani haya maeneo yanahitaji huduma? Load factor ya ATCL kwa sasa ni ngapi, viti vingapi katika mia vinakaliwa?

Kama kwa sasa load factor ni 100% then tutasema wanahitaji huduma, lakini ndege zenyewe kama hazijai basi hatujui kama wanahitaji kuongeza huduma.
 
Ndio wao walioiuwa ATCL. Wakauza ndege zetu zote, tukakodisha mitumba, inhalation hasari hadi leo. Hasara za ATCL zinatokana na madeni ya SAA
 
Hizi biashara walikua waachiliwe waarabu tu wafanye, Mana mashirika yao yanazidi kwenda juu tu kila siku lakini mengine naona yanakufa.
 
Hizi biashara walikua waachiliwe waarabu tu wafanye, Mana mashirika yao yanazidi kwenda juu tu kila siku lakini mengine naona yanakufa.
 
SA airways kuna ufisadi ulikua unafanyika ndio maana CEO wake na Chief Financial Officer walitimuliwa pindi alipoingia Ramaposa na kuvunja Board nzima ya hilo shirika kwa kushindwa kuzuia ufujaji wa fedha...
 
Ule ulikuwa ni ujinga wa enzi zile. Lakini tukikaa vhini na mikataba Mizuri inaeezekana kabisa.
Naunga mkono ila mkitaka shirika imara lisiingiliwe na wanasiasa lijiendeshe lenyewe kama Ethiopian airlines
 
Back
Top Bottom