Ujinga tu wa wanasiasa wetu ambitious projects zimekuwa lundo kila Rais anaingia na projects zake za kichwani.wanatuingiza hasara sana tumekaa kuwapamba kwa mapambio.
Kuna watu wataiamini hii figure,
Kwanza total debt haizidi 5Tilion, while tunadaiwa zaidi ya 60T.
Halafu mbona juzi tu India ilitukopesha 500M USD kwa ajili ya maji na haipo kwenye chati,
Yaani zile nchi ambazo tunaziponda na kuziita za magaidi ndio wametupa ela nyingi .....ile nchi teule cjawai ona msaada wao hpa tz ila ukiisema utashambuliwa na mayahudi wa vingunguti 🙂
Hao Zanzibar ipo siku watawatokea puani, mliwaingiza kwenye huo mkenge wa muungano, kila siku wanazaliwa vizazi vipya visivyoungamana na hizo sounds.....hebu ona hapa wanavyoidai ATCL hela kama yote....