Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25
Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit
mifano ipo miingi
Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'
na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....
Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..

Kama mkuu haombi data za kudhibitisha anachoambiwa kosa la huyo mtonyaji liko wapi? I think our president ought to make sure that he will not speak anything in public without solid data based evidence. Ningekuwa ni mimi raisi akija mtu anasema "mheshimiwa kuna wafanyakazi wa umma wanachukua mil 40 kwa mwezi" ningemwambia Niletee majina na mishahara yao ya miezi mitatu ya nyuma. Nikisha jiridhisha kuwa ni kweli basi nitachukua hatua. No evidence no utterance.Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25
Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit
mifano ipo miingi
Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'
na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....
Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Asante Mkuu kwa ufafanuzi. Hebu nifafanulie na hili nisije ingia chaka. Rais alisema tufyatue tu kwakua elimu ni bure wakati hata sijaanza fyetua akaja waziri wakasema eti tufuate mpango wa uzazi na ile kauli ya Rais ilikuwa utani. Sasa mimi nadhan labda Ndg Ndulu na Mafuru wanatania tu au Rais alikuwa anatania tu.Rais alikuwa haongelei mshahara pekee bali pay package ya baadhi ya watumishi wa serikali.
Prof. Ndulu alichosema ni namna ambavyo hiyo account ilifunguliwa na sio ubaya wa uwepo wa Fixed Account. kwa hiyo hajamkosoa Rais bali alichokisema ndicho Rais alikisema.
Kama Tanzania ingekuwa na waandishi wa habari wazuri, walitakiwa wambane awaeleze maana ya maneno ''namna ambavyo ilifunguliwa'' lakini kwa sababu taaluma imejaa makanjanja basi hawakuweza hata kuuliza
Rais Magufuli hajasema Fixed Account ni mbaya bali zilikuwa zinakuwa abused na baadhi ya wafanyakazi wa mashirika ya umma.
Soma BOT Act 2006 imeeleza kwa kirefu kuhusu Fixed Account kwa taasisi za serikali.
Mshauri wa Rais maswala ya uchumi ni Rais, masuala ya siasa ni Rais, Kilimo mshauri ni Rais, VIWANDA mshauri ni Rais, Kwa ufupi mshauri wa Rais katika kila sekta ni Rais mwenyewe! Hivyo Mkuu unataka Rais amtimue Rais ambae ni mshauri wake?Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25
Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit
mifano ipo miingi
Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'
na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....
Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais.....atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Sheria mpya ya Huduma ya Habari itatusaidia kupata waandishi bora.Rais alikuwa haongelei mshahara pekee bali pay package ya baadhi ya watumishi wa serikali.
Prof. Ndulu alichosema ni namna ambavyo hiyo account ilifunguliwa na sio ubaya wa uwepo wa Fixed Account. kwa hiyo hajamkosoa Rais bali alichokisema ndicho Rais alikisema.
Kama Tanzania ingekuwa na waandishi wa habari wazuri, walitakiwa wambane awaeleze maana ya maneno ''namna ambavyo ilifunguliwa'' lakini kwa sababu taaluma imejaa makanjanja basi hawakuweza hata kuuliza
Rais Magufuli hajasema Fixed Account ni mbaya bali zilikuwa zinakuwa abused na baadhi ya wafanyakazi wa mashirika ya umma.
Soma BOT Act 2006 imeeleza kwa kirefu kuhusu Fixed Account kwa taasisi za serikali.
Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25
Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit
mifano ipo miingi
Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'
na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....
Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Mbona unamsaidia kutoa ufafanuzi rais kakutuma? kumtolea ufafanuzi? Bali hapa rais atambue kuna mkanganyiko kati yake na wasaidizi wake kama si yeye au wasaidizi wakeRais alikuwa haongelei mshahara pekee bali pay package ya baadhi ya watumishi wa serikali.
Prof. Ndulu alichosema ni namna ambavyo hiyo account ilifunguliwa na sio ubaya wa uwepo wa Fixed Account. kwa hiyo hajamkosoa Rais bali alichokisema ndicho Rais alikisema.
Kama Tanzania ingekuwa na waandishi wa habari wazuri, walitakiwa wambane awaeleze maana ya maneno ''namna ambavyo ilifunguliwa'' lakini kwa sababu taaluma imejaa makanjanja basi hawakuweza hata kuuliza
Rais Magufuli hajasema Fixed Account ni mbaya bali zilikuwa zinakuwa abused na baadhi ya wafanyakazi wa mashirika ya umma.
Soma BOT Act 2006 imeeleza kwa kirefu kuhusu Fixed Account kwa taasisi za serikali.
Hapana mkuu hapo hakuna cha mshauli wala nini nacho amini binafsi magu anatumia huumwanya kuwa sisimua Wa Tanzania kuwa anafanya kazi kubwa hii kuchangia na wananzengo wengi hatuna elimu tunajikuta tuna shabikia bilakujua.kumbuka ata hizi ndege hazkutajwa bei yake kilicho semwa ni mamilioni mengi.swala la wananzengo wengi kukosa elimu ni mtaji tosha Wa jembe na nyundo.Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa
wanalipwa milioni 40 ya mshahara..infact amesema hakuna hata aliewahi kuzidi milioni 25
Juzi tu Gavana kamkosoa Magufuli kuhusu fixed deposit
mifano ipo miingi
Kwa vyovyote 'kuna mtu ambae anam feed ' Rais taarifa hizi ambazo
'zina utata na ukakakasi'
na matokeo yake Rais anaongea mbele ya hadhara vitu vinakuja kukosolewa
na wasaidizi wake....
Ushauri wangu huyu 'mtu' Magufuli amtimue haraka sana.....
hafai kukaa karibu na Rais......atampotosha makubwa zaidi kama sio tayari kashampotosha..
Naunga mkono hoja, tasnia ya habari nchini Tanzania inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa specialization ambapo, kuliandikia suala la FDA linahitaji mwandishi mahiri aliyezama kwenye uchumi nido sisi wengine tukaomba usaidizi wa wachumi watusaidie.Kama Tanzania ingekuwa na waandishi wa habari wazuri, walitakiwa wambane awaeleze maana ya maneno ''namna ambavyo ilifunguliwa'' lakini kwa sababu taaluma imejaa makanjanja basi hawakuweza hata kuuliza
Rais alikuwa haongelei mshahara pekee bali pay package ya baadhi ya watumishi wa serikali.
Prof. Ndulu alichosema ni namna ambavyo hiyo account ilifunguliwa na sio ubaya wa uwepo wa Fixed Account. kwa hiyo hajamkosoa Rais bali alichokisema ndicho Rais alikisema.
Kama Tanzania ingekuwa na waandishi wa habari wazuri, walitakiwa wambane awaeleze maana ya maneno ''namna ambavyo ilifunguliwa'' lakini kwa sababu taaluma imejaa makanjanja basi hawakuweza hata kuuliza
Rais Magufuli hajasema Fixed Account ni mbaya bali zilikuwa zinakuwa abused na baadhi ya wafanyakazi wa mashirika ya umma.
Soma BOT Act 2006 imeeleza kwa kirefu kuhusu Fixed Account kwa taasisi za serikali.
Mkuu The Boss, what if the source is the otherway around? .Leo ndugu Mafuru amekanusha kauli ya Magufuli kuhusu kuwepo watumishi waliokuwa