sound zote zimegoma

sound zote zimegoma

Eminem jr

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2018
Posts
2,006
Reaction score
4,617
Ulishawahi
kumtongoza demu
sound zote
zimegoma mpaka
unajikuta
unamwambia "Baby
ukinikubali
ntakununulia hela"
 
Ha ha haaaa! una moyo sana mkuu, mi hua simfati mwanamke zaidi ya mara 2 akitoa nje zote najikataa akiwa serious atarudi mwenyewe
wanasema Hakuna Mkate mgumu mbele ya chai ila kaka hapo nime hands up
 
Nilipatishwa tabu sana na binti miaka ileeeee aiseee huwa sisahau maake nilikuwa nambembeleza hadi nataka kulia ananizingua tu hadi alipokuja kunikubalia kwa kigezo cha eti wacha tu anipe kwa kunionea huruma weeeeeeeeee! kibao kilikuja geuka hadi leo kabaki yy ndio mtumwa kwangu- tekenya harage lile hadi anaita watu jamaaaniiii njoooo huuukuuuu njoooo muoneeee
 
Hataki ngonjera na uongo,we mwambie moja kwa moja unachokitaka, mfano twende tu....
 
Nilishawai kukutana nayo mkuu daah sitaki hata kukumbuka aisee daah yule demu jamani

Smart guy
Acha kabisa Yan, una-confess love hadi unachanganyikiwa lakini wapi? Ndugu yangu hela ndui
Nilipatishwa tabu sana na binti miaka ileeeee aiseee huwa sisahau maake nilikuwa nambembeleza hadi nataka kulia ananizingua tu hadi alipokuja kunikubalia kwa kigezo cha eti wacha tu anipe kwa kunionea huruma weeeeeeeeee! kibao kilikuja geuka hadi leo kabaki yy ndio mtumwa kwangu- tekenya harage lile hadi anaita watu jamaaaniiii njoooo huuukuuuu njoooo muoneeee
mkuu naweka mikono juu6
 
Hahahah
 
Back
Top Bottom