Ntakuacha if u promise me utanikuwa unaniita anytime
Otherwise uje wima wima pm tumalizane huku huku ha ha ha
Haiwezekani unibague hivi hivi
Pole sana
And you are laughing...! kweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza walai...:sleepy:
acha ushamba wewe!Mke wetu bhana... Tatizo hujui navofeligi kwenye hizi harakati.
Hii michuchu ya dot com inabana sana vitu iliyopewa bure. Asa mi na hawa mabinti wanaosoma, hela ya kuinunulia vitz ntaitoa wapi?
Ngoja nirudishe harakati kwa oldiez are goodiez...
And you are laughing...! kweli jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza walai...:sleepy:
am sorry sijacheka kwa mazuri kwa maana kwangu bado ni usiku wa giza tororo
inabid unitoe huku...nijue
am sorry sijacheka kwa mazuri kwa maana kwangu bado ni usiku wa giza tororo
inabid unitoe huku...nijue
Kam zis wei...!
Nashangaa mimi hajawahi kuniita....wivu umenishikaje sasa
A soulmate (or soul mate) is a person with whom one has a feeling of deep or natural affinity.
This may involve similarity, love, romance, friendship, intimacy,sexuality, sexual activity, spirituality, or compatibility and trust.
Tatizo soulmate umekuwa na mkono wa birika kwenye viungo vyako.
Wajukuu wa dot com labda
Namheshimu mkeo otherwise ningekuonyesha adabu
Kwi kwi kwi babuuuuu
.........Ni vigumu kujua funguo kama hujui aina ya kufuli.......:llama::llama::llama: