mhalisi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,181
- 322
kwa wale wanaosikiliza kipindi cha XXL cha Clouds fm watakuwa wanaifahamu segment ya "YOU HEARD" ambayo mtangazaji wa segment hiyo ni Soud Brown. mara nyingi ukimsikiliza lazima utacheka maana ni full vituko. utacheka hasa pale anaposema kwenye gazeti la Makorokocho leo kuna bonge la storiiiiiiiii.