uzuri..... Paloma ni mzuri baaarrrraaaaaaaaa,ukimwona hata wewe utachanganyikiwa
akiniona tu naye atastuka kumoyo
Mtoto halali na hela na we m handsome?
sijiweki kwenye rank hiyo ila ni kidume tu cha kawaida.
Cc: Paloma
Haya nifanyeje sasa nawe mrembo. I lav yu blaza!