Sosoliso Huyoooooooooooooo

Nimekutaka radhi Mpwa wangu, sikujua bhana kuwa ni wewe, nilidhani ni Sosoliso wa kwenye Picha kumbe ni wewe wa JF....hahahahaaaaa ngoja nikapate NOAH kwanza

Weka kilo mbili na ndizi na mchicha kabisa Elli.. Naja huko maana mwili unajengwa kwa noah siku hizi..
 
Last edited by a moderator:
we sosoliso yani sitaki kuamini umeshindwa kukanyanyanyua katoto ka watu.........lol!!!

Ha ha ha Paloma.. Nabebwa mie hapo kama mtoto mdogo.. Usimdharau shemeji yako.. Nachungulishwa dirisha mie..
 
Last edited by a moderator:
Awezee wapi, limwili kontena nguvu kisoda.

check mwenyewe alivyojipinda sasa................nataka watu kama hawa niwafanyie utafiti....Kim Kardashian alimuacha yule wake naye sijui why
 
Namwonea huruma huyo binti, akifika uzee ndio atatambua kuwa hizo libaba lilimwalibu kila kitu
 
Ha ha ha Paloma.. kilo 150 hapa..

mhhh hapa ngoja mie niulize na saudari embu saidia
ni kwamba sosoliso ndio giant feki au hako ka wifi ni kamedumaa?
(sorry my language! natumia hii lugha kujaribu kumaanisha sosoliso si giant kiviiile ila bi dada ni kafupifupi na kadogodogo kama mie hapa)
 
Last edited by a moderator:

Ha ha ha.. Naonewa hapa.. Paloma hataki kukubali kwamba hapa mzigo mnene..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…