Herry Ally
Member
- Dec 12, 2016
- 60
- 36
Vile tunapohitaji kufikia ,kunapobadilika na kuwa tulikotoka
Hiyo ni Liwale-Lindi sioTanzaniaHivi bado kuna hayo mazingira kwa sasa hapa Tanzania?
Haduh! wapi hiyo!??
Ukiripoti hiyo habari hukawii kuitwa mchochezi
Ndiyo! Nenda pale chuo kikuu kuna sehemu inaitwa Mdigrii utayakuta...Hivi bado kuna hayo mazingira kwa sasa hapa Tanzania?