Sorrugate Birth,

TIASSA

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
3,113
Reaction score
4,003
Hii Ni Njia Ambayo Mwanamke Anabeba Mimba Na Kuzaa Mtoto Ambaye Atakuwa Mtoto Wa Mwanamke Mwingine Naona Vibopa Wenye Pesa Nyingi Huko Marekani Kama Kina Gabrielle Union Na Kim Kadarshian Wameshatumia Hii Njia, Kinachofanyika Hapa Ni Kupandikiza Mbegu Za Mume Kwa Mwanamke Mwingine, Pindi Atakapo Jifungua Anakabidhi Mtoto Na Huo Ndiyo Unakuwa Mkataba Wa Kazi Umeishia Hapo,,
 
Surrogacy!!
Ni sehemu ya maendeleo ya binadamu ambayo yatafanya wanawake wasione umuhimu wa mwanaume.
Ni kama IVF.

Mwanamke anaweza kuwa na mtoto bila hata kujihusisha na mapenzi na mwanaume.
Na mashoga, lesbians wanatumia njia hizi.
Na bahati mbaya wanaume wenzetu ndio wanaoongoza kampeni za kupoteza uanaume wetu.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…