Sophia Simba: Wanawake Jeshi Kubwa hang'oki CCM

njeeseka

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,374
Reaction score
985
Akiongea na akinamama ccm. Anasema Wanaosema kuna wengine watahama chama cha ccm wanajidanganya, mikakati ya wapinzani wanaijua kwani hukohuko kuna vijana wao wanawapa taarifa. Amevaa vazi limeandikwa BAKI CCM

Ni bora astaafu tu siasa. Hana jipya.
 
huyu mama sioni kama kuna kitu anachokijua. hata alityempa uwaziri sijajua alizingatia nini.
labda wana jamvi mnisaidie nisichokijua kwa huyu mama.
 
Asubiri zamu yake wenzake wote wameshakatwa kwa amri ya Mwenyekigoda sasa asubiri zamu yake tu.......Nadhani tunasubiri VAZI litabadilishwa sasa hivi kuwa HAMIA UKAWA.............
 
Tukutane 25/10/2015 kwenye sanduku la kura ndipo CCM watakapotambua kuwa imebaki na wafuasi wanaovaa nguo za kijani,vinywani mwao wako na CCM lakini mioyo yao iko UKAWA kwa Lowassa.
 
Huyu shushu wetu mwacheni tafadhali

Wakati Wewe Ukijinadi Kuwa Huyu Ni Shushu Wenu Lakini Hapo Hapo Na Wewe Usijisahau Kuwa Huko Huko UKAWA Kwenu Karibia 75% Ya Viongozi Wenu Waandamizi Ni Wana UWT Wa CCM Tena WALIOTUKUKA? au Nikutajie Majina Yao Ujifiche Uvunguni Sasa Hivi?
 
ccm kama watamuamini huyu mama wamekwisha...

Lowassa ndo alikwisha kwa kumuamini huyu na Adam Kimbisa.Boys two men mmoja alikuwa anasugua mwingine anagawa hela, ilipofika wakati wa kuchagua mmoja kachagua msuguaji
 
Akiongea na akinamama ccm. Anasema Wanaosema kuna wengine watahama chama cha ccm wanajidanganya, mikakati ya wapinzani wanaijua kwani hukohuko kuna vijana wao wanawapa taarifa. Amevaa vazi limeandikwa BAKI CCM
njeeseka
 
Karata ya ccm kwa wanawake ni mgombea mwenza...nadhani wenye kupiga kura za huruma kwa mwanamke mwenzao ndio eneo lao..
 
Asubiri zamu yake wenzake wote wameshakatwa kwa amri ya Mwenyekigoda sasa asubiri zamu yake tu.......Nadhani tunasubiri VAZI litabadilishwa sasa hivi kuwa HAMIA UKAWA.............

Kwa kuwa kwake Mwnykt wa UWT tayari ana kiti maalum ndo mana hujamsikia akigombea. MWNYKT TAIFA WA UWT HUPEWA UBUNGE WA VITI MAALUM KWA KATIBA YAO
 
Wakati Wewe Ukijinadi Kuwa Huyu Ni Shushu Wenu Lakini Hapo Hapo Na Wewe Usijisahau Kuwa Huko Huko UKAWA Kwenu Karibia 75% Ya Viongozi Wenu Waandamizi Ni Wana UWT Wa CCM Tena WALIOTUKUKA? au Nikutajie Majina Yao Ujifiche Uvunguni Sasa Hivi?

Umbeya tu wataje embu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…