Hivi sofia ni waziri wa wizara gani vile? kama vile mawazo ya chooni!Ndio maana tuna kiu na Katiba mpya ili tupate mawaziri wachapakazi na watakaotumikia wananchi. Kitendo cha kukaa na kutumia muda mwingi kusifu watu badala ya kutatua kero za wananchi ni usaliti wa utawala bora. Swala siyo kusifia watu waliowahi kuwa waume zako bali siku ya leo ni saiku ya kuwakilisha bajeti yako fullstop. Mengine yasubiri urudi nyumbani kwako uongee utakavyo.
Wamerudisha saa 4 toka wakate jana, saa mbili usiku.
Anamshauri sana kwa wakati wao. Ndiyo Rais amekuwa Rahisi wa Karne!Yahai mtu kama huyo atamshauri nini rahisi? mi nadhani ndo maana serikali inapwaya sana kwa sababu watendaji aliowachagua hawana mchango kwake
Yahai mtu kama huyo atamshauri nini rahisi? mi nadhani ndo maana serikali inapwaya sana kwa sababu watendaji aliowachagua hawana mchango kwake
inasemekananilidhani ni mumewe?
Mwingine naibu wa wizara ya ustawi wa jamii katoa pongezi kuanzia UWT tanga,kikwete,waziri wake.katibu mkuu,familia,mume mpaka dadake anemlelea watoto...halafu anasema kama muda utatosha atajibu hoja 2..duhTakribani dakika kumi sasa, anatoa pongezi na shukrani. Mara Jk mara Kitwana Kondo, ngoja nieendelee kumvumilia
inasemekana
Hivi hajarudia kuwambia kina mama watunyime NONINO kwa vile hatukuchagua CCM 2010 jimbo la Ubungo na Kawe?