Sophia Simba ameanza kuogopa mkwala wa Mnyika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sophia Simba ameanza kuogopa mkwala wa Mnyika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quinine, Mar 20, 2011.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,846
  Likes Received: 11,965
  Trophy Points: 280
  Kwa vile nimjuavyo Sophia ni mwingi wa vijembe nilitegemea jana kwenye mkutano wa Baraza Kuu la UWT-CCM ajibu mapigo ya Mnyika lakini amenywea sana alikuwa mpole kuliko muda wote wakati anataja neno Chadema, kumbe mkwala nao unasaidia, big up dogo hakikisha CDM inatekeleza azima yake ya kumfikisha mahakamani.
   
 2. Criss

  Criss JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 825
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Safi sana Mnyika,kwa speed hii CCM na waropokaji wao itafikia mahali watatafuta uchochora wakujililia kwa madudu waliyo ya sababisha .Unajua hawa wadudu ilifrika wakati walijiona kama hii nji ni mali yao binafsi.Wito wangu kwa Mnyika kama kuna ma evidence yakutosha ni kukaza tu mwanzo mwisho lengo si kukomoana bali ifikie mahali Serikali ione umuhimu wa kua na watendakazi makini na si kwa sifa za kujuana ,mara alikua demu wangu enzi za xcul yaani full maduduwangu na inatuongezea waropokaji,shortly huu uongozi wa kulipana fadhira ndio ulio tuingiza kwenye tope zito kwa miaka 6 mizima .Kuna wakati mi hua natamani hata nilivae bomu kimyakimya nikajilipue tu pale magogoni (Dont think just like i h've criminal thinking nooo!!cause najihisi kukatishwa tamaa na Serikali yangu,unakuta m2 amesomeshwa kwa taabu kwa kipato cha Mama muuza mboga mtaani na Baba mkata mkaa na amefanya vizuri lakini mwisho wa siku dah!!!anyway siku moja kitaeleweka tu........CHADEMA siku hizi ni kitu nyingine aisee na kwa jinsi kinavyo kimbiza kwa viwango ....anything could happen b4 2015.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  HIYO NI PEOPLES POWEEERRR, itamshukia kama mwewe
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,846
  Likes Received: 11,965
  Trophy Points: 280
  Unajua hawa jamaa walifikia hatua ya kuijiona wako free kila mtu akijisikia kuropoka anaita waandishi wa habari au kwenda TBC kuropoka.
   
 5. G

  Godwine JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 15, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  2015..............................................................................................
   
 6. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #6
  Mar 20, 2011
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona chadema hamumfikishi mahakamani Bi Sofiiii au ilikuwa tisha toto?
   
 7. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  kila kitu kina taratibu zake.kwanza anapewa mda kisheria kufuta au kudhibitisha kauli yake,atakaposhindwa hatua ya mahakama inafuatwa.nadhani ndivyo chadema walivyojipanga.
   
Loading...