Soon wanasuguana hapo juu

Unajua mkuu mchezo wa draft lengo sio draw lkn kwakuwa akiri zinazidiana basi mmoja lazima afungwe, sas kwa ubora wa jarida lako tujikumbushe kwamba Kuna knowledge is power na Kuna power is power.
 
Hawatapewa na Nani?. Kumbe kuna mgawaji(wagawaji) wa Urais na hamsemi?
 
Desturi sio sheria wala haimo kwenye Katiba ya Chama !
Mwenyekiti wa Chama ndio pia ni Mkuu wa Nchi ! Zingatia hilo !
Locuta causa finita. !
Hakuna cha desturi wala nini 😳 !
 
Vita ya 2030, inawafanya kuingiliana kimajukumu,

Rais wa mawe na Yule mkatolik wa mchongo mgogoro umeanza rasmi

🥲

Britanicca
Hawa vijana wa chadema ni wapumbavu na watakufa na huo upumbavu wao. Mijitu isiyo na chochote ikijifanya inajua kila kitu. Ni mazuzu na mazombie yanayojidanganya!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…