Soon naoa jamani

Fundi mahiri wa Ujenzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
5,047
Reaction score
4,449
Habarini ndugu zangu. Bila shaka wote hamjambo na mnaendelea vizuri na kazi ya kulijenga taifa letu. Ndugu zangu ma bibi na mabwana, mwenzenu naoa hivi karibuni. Naomba nichukue nafasi hii kuwakaribisheni wote ktk hiyo function. Mimi ni mtumwa yaani na maanisha ni mwajiriwa katika haya makampuni ya wenyenazo lkn kwa sababu siutaki utumwa nimeamua kuwa na vijimiradi vidogodogo ili viniongezee kipato na ikiwezekana hapo badae kidogo niukimbie utumwa.....kama unavyojua tena watumwa tunavyolipwa ujira wenye sifa hii HENDI 2 MAUTHI. The problem is ni lazima kila siku nifike nyumbani usiku wa saa tano nikitokea kwenye hivyo vijimradi. Kinachoniumiza kichwa nikiwasiliana na fiance wangu huwa na mwambia ukweli time niliyofika home. Lkn yeye hapendi hii tabia ya kufika home saa tano na hapo bado yupo kwao.

Sasa swali langu ni hili......

je nikimuoa itakuwaje?......si utakuwa ugomvi kila siku ama italazimika nisikague biashara zangu ili niwahi home na nisipokagua kila siku ni mwanzo wa kufa kwa hiyo miradi.

Please nishaurini ni jinsi gani naweza ku handle hii isue ili biashara zangu ziendelee na at the same time amani isijetoweka home baada ya ndoa
 
Sipendi uchukuwe jukumu la kuoa kwa sababu ya kero fulani ndoa inaitaji uwamuzi kutoka ktk moyo wako napia uwe tayari na hilo jukumu na siyo vingine
 
Sipendi uchukuwe jukumu la kuoa kwa sababu ya kero fulani ndoa inaitaji uwamuzi kutoka ktk moyo wako napia uwe tayari na hilo jukumu na siyo vingine

Sioi kwa sababu ya kero mkuu. Naoa kwa sababu nimeamua kuoa na nampenda ninae muoa. Ni shauri jinsi ya kutatua hilo tatizo nililo lieleza hapo juu
 
Anataka mkae mnaangaliana nyumbani mtakula mawe....
wanawake sometimes bana!!!
 
acha miradi ukae nyumbani muangaliane ndoa atakuelewa.
 
Mueleweshe atakuelewa,mueleweshe kiume na mpe malengo na ajipange sababu wewe sasaivi unatafuta na anatakiwa aku support kipindi hiki kigumu,na inshallah atakuelewa..
 
mpeleke kwenye hiyo miradi ili aone nini kinachofanyika huko na je kina haki ya kufanya wewe ufike home saa 5 usiku?? akishajionea mwenyewe atakuwa mpole na siku nyingine ukae nae huko mpaka huo usiku mkubwa ili ajue... lakini kama unamficha unachokifanya ni lazima awe na wasi wasi
 

Tks, nimekupata
 
Duu ila nawe huwezi kujipanga kdg usifike hom huo mda coz I can't imagine hata ningekua mimi ningejiskiaje mme anirudie saa tano halaf mbaya zaid umejichokeea...na unahitaji kukurupuka mapemaa means utahitaji kuwahi kulala pia

Jiandae kusaidiwaaa
 
ata mi nakushauri hivyo hivyo!
Ila da miradi mpaka saa tano mwonyeshe aridhike
 
Maisha ya ndoa ni matamu ila yanamitihani mingi sana,
Chakufanya ni kuwa mvumilivu na kumpenda mwenzi wako,
Usipende sana kusikiliza maneno ya watu bila kuyafanyia ufumbuzi wa kina,
jitahidi kufanya kazi kwa nguvu zote ili mwenzi wako asihangaike kwa tamaa za pesa na kadhalika,
Kuwa mbunifu katika mapenzi yako ili uweze kumudu matatizo katika swala la faragha.
 
khaaaaaaaaa! sijui ni uchovu wa msiba ama ni akili yangu kupenda ubwabwa.

nilipoona bandiko nikajua tayari mwaliko wa ubwabwa kumbe bado anavuta harufu ya samaki.
ngoja medulla yangu ikae sawa nitarudi ila jifunze kuwasilisha hisia kusudiwa kwenye imla yako.
 
Ukimuoa mkabidhi hiyo miradi aisimamie halafu wewe endelea kazi yako kama atarudi nyumbani saa 5 mpe pole atachoka mwenyewe atakuruhusu kuendelea nayo wewe mwenyewe, ila umemwambia babako na mamako kuwa unataka kuoa au umeanzia kwetu kwanza.
 
Inawezekana hujawahi kumweleza kwa uwazi aina ya miradi unayoendesha na ugumu wa kuiendesha na matatizo yatakayotokea bila usimamizi wako wa karibu
Hujawahi kumpeleka hata siku moja katika mi0radi yako akaona ugumu wake na akajua umuhimu wa wewe kuwepo katika miradi hiyo na bila wewe hakuna litakalofanyika
Mweleze kwa utaratibu na mweleweshe ufanyalo na umuhimu wake na umuhimu wa matumizi ya muda wako katika kuhakikisha kuwa mi0radi yako inasimamiwa vyema
Ni suala la kushauriana na kuwekana sawa hakuna kitakachoshindikana SnowBall na HorsePower na mwalimu gfsonwin hebu kujeni pande hizi bana
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky umenena sawia kabisa, sina cha kuongeza!!!
 
Last edited by a moderator:
Duu ila nawe huwezi kujipanga kdg usifike hom huo mda coz I can't imagine hata ningekua mimi ningejiskiaje mme anirudie saa tano halaf mbaya zaid umejichokeea...na unahitaji kukurupuka mapemaa means utahitaji kuwahi kulala pia

Jiandae kusaidiwaaa

Hakuna Kitu kama hicho cha kusaidiwa, mm nakataa kabisa, kama unampenda mumeo, na unajua amekwenda kutafuta kwa ajili yako na wanao kwa kweli utakuw abega kwa bega na yeye, na hata kumsubiri kwenye kochi mpk arudi ili aweze kula na kulala na unakuwa responsible kumuandalia kila kitu.

Mimi wa kwangu mara nyingine anarudi saa 8 usiku, na mbona tupo vizuri tu,
Ushauri wangu kwa wewe PMOSES 95, muonyeshe ni nini unafanya, na ikibidi nenda naye kwenye hizo biashara, kaa naye huko mpk huo muda,atakubaliana na wewe na hatokuwa anakusumbua tena, na ikifika wakati wa gemu , piga gemu ya nguvu kiasi wiki nzima hatamani hiyo kitu.
 

Nimekupata tks kwa ushauri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…