bindira Tz
New Member
- Feb 7, 2017
- 4
- 1
Ndio. Jaribu utupe mrejeshoHabari za muda huu waungwana
Kwanza natanguliza samahani kama nitakuwa nawaboa ila kiukweli nataka kujua
Hivi ni kweli sony xperia z3 ni water proof
Mimi nimenunua juzi simu ya aina hiyo nataka kujaribu kuweka kwenye maji ila naogopa
Naombeni wataalamu mnifahamishe zaidi
Isizid dk 30Habari za muda huu waungwana
Kwanza natanguliza samahani kama nitakuwa nawaboa ila kiukweli nataka kujua
Hivi ni kweli sony xperia z3 ni water proof
Mimi nimenunua juzi simu ya aina hiyo nataka kujaribu kuweka kwenye maji ila naogopa
Naombeni wataalamu mnifahamishe zaidi
Ah nimekupenda bure yani hahahahah, JF nki bokoKama una manual ya hiyo simu utajua nini cha kufanya kwa wakati gani na wakati sahihi, otherwise fuata ushauri uliopewa hapo juu
Ulete mrejesho
Yaani hiyo simu mkuu ni zaidi ya samaki.
Mi nilikuwa nayo ikifika usiku naizima halafu naiweka kwenye ndoo iliyojaa maji asubuhi naitoa nachukua kitambaa naifuta vizuri tayari kwa matumizi...
Yaani yenyewe ukiiweka sehemu kavu inaweza hata kuzima ila kwenye maji utaipenda!.
Simu original hii mkuuHiyo simu ni original au copy?
Ni kweli mkuu mimi niliijengea bwana kabisaAh nimekupenda bure yani hahahahah, JF nki boko
Kwaiyo Sony Xperia kama samaki vileYaani hiyo simu mkuu ni zaidi ya samaki.
Mi nilikuwa nayo ikifika usiku naizima halafu naiweka kwenye ndoo iliyojaa maji asubuhi naitoa nachukua kitambaa naifuta vizuri tayari kwa matumizi...
Yaani yenyewe ukiiweka sehemu kavu inaweza hata kuzima ila kwenye maji utaipenda!.
Try and fail is experienceHabari za muda huu waungwana