Sony Xperia Nikiwasha Inavibrate bila kuwaka naomba msaada

Sony Xperia Nikiwasha Inavibrate bila kuwaka naomba msaada

Linamo

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Posts
9,974
Reaction score
24,504
Habari JF.

Naomba Msaada Kujua Tatizo.Nilikuwa Natumia Simu Tajwa Hapo Juu Ilianguka Kwa Bahati Mbaya Ikazima.Nikiiwasha Inavibrate Tu Haiwaki Wala Kutoa Mwanga Naomba Kujua Tatizo Nini !
 
Mkuu Imeandikwa Tu Sony Xperia Nikitoa Betri Imeandikwa Type Pm-0060-bv
 
Back
Top Bottom