Sony Xperia Lt 30p

Sony Xperia Lt 30p

korojani

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Posts
231
Reaction score
237
Wakuu nina simu aina ya Sony Xperia Lt 30p tatizo lake ukiitoa kwenye chaji inazima, na ukiiweka kwenye chaji inaonyesha imejaa kwa 100%. Na ukiitoa kwenye chaji kabla hujaizima ikizima yenyewe inatabia ya kuwaka na kuzima na inapata moto. Ukija kuirudishia kwenye chaji baada ya dakika 5 inakuonyesha 52% charging.

Betri lake ni la ndani kwa ndani, kwa anayefahamu hii shida inawezekana ikawa ni nini? Betri au charging system?

From Sir Korojani
 
sony simu mbovu hizo yangu niliitupa baada ya kuanza kuzima zima ovyo itupe tu tafuta hata tecno
 
Sony smartphone za mwanzo zilikuwa miyeyusho. Hio simu ina bootloop problem suluhisho ni kuiflash ikibidi badilisha na rom kabisa. Kuhusu battery nazo zilikuwa bomu sana so nahisi hio yako ishakufa.
Kwa kuzingatia kanuni ya opportunity cost nadhani ingekuwa busara zaidi kununua simu ambayo ni current zaidi na si kutengeneza hio kuukuu in case unaipenda brand ya sony.
Matoleo ya Sony hasa Z series ndio yapo poa nshatumia Z1,Z2 na sahivi nipo C series nna xperia C3 haina tatizo battery bomba sana!
 
Ahsante mkuu

From Sir Korojani
 
Back
Top Bottom