Nina sony xperia tatizo lake ukiiwasha inawaka inaonyesha logo ya sony,baada ya hapo haiendelei inakua inajiwasha na kujizima, nini tatizo au nifanye njia ipi niweze kutatua? Msaada wakuu.