ropam
Senior Member
- Aug 11, 2010
- 173
- 35
Nawasalimu wana-tech wa Jamii Forums,
Nimepoke computer ya sony vaio model:VPCCB26EC ina processing power ya 64-bit, imekuja pre-installed na windows 7 ultimate 64 bit....but then imekuja na tatizo kubwa zaidi kwamba INATUMIA LUGHA YA KICHINA, nimeingia kwenye control panel (regions and language) nimebadili display language as well as the input language from chinese to english...kuna features zimebadlikia kama maneno yanayosomeka kwenye welcome screen wakati computer ina-boot, previously yalikuwa chinese then sasa hivi yapo in english! ila bado features zingine nyingi zinasoma kichina...kuna hadi program zingine ukiwa una-install inakuletea installation wizard ya kichina.
Nimejaribu kutafuta OS ya 64-bit nimekosa then Baada ya kugundua OS ya 32-bit inakaa fresh tu kwenye system architecture ya 64-bit nikaamua kufanya fresh installation ya win 7 proff 32-bit kwenye system ya 64-bit...imekaa fresh lakini drivers nyingi zime-miss, na nikijaribu kutafuta driver za hiyo model ya sony hapo, wananiletea driver ambazo ni compatible ni win 7 proff 64-bit...I have been working on this the whole day bila mafanikio!
Naomba msaada wenu Wataalam wenzangu...kwa mawazo na hata kwa software, NTASHUKURU SANA!