Sony home theater system model DAV-TZ140

Hi-fi music system ndio ndoto sitaki radio yeyote kwa sasa mpaka nisafiri au nipate mtu anajua mziki na anae aminika CHIEF MKWAWA nadhani Alisha elezea hapa hi-fi ndio baba yao baada ya home theater.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hi-fi nzuri kwa outdoors, kama una lounge yako au bar ukiweka hi-fi system ndio mwake zaidi. Kwa nyumbani ni nzuri pia hasa kama unataka uwatese na majirani!
 
Hi Fi na home theatre ni wanyama tofauti
Hi Fi ni maalum kwa music Home theatre kama jina linavyosugest kwa movies ila sisi tunafoji kwa music

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nataka home theater yenye spika zile ndefu walau nne iwe ni lg ,samsng, sony i don care wadau mnaoifaham fashen hio mnipe ideas
 
Wakuu sony DAV DZ 830 inapatikana kwa sh ngapi?

maana hii kitu maana inaendana na ninachokihitaji.
 
Kwema mkuu! Aisee nimefatilia huu uzi uko poa sana...na mimi langu limezingua sony ni siku ya pili leo sauti ndogo, ilianza kupungua yenyewe kila nikiongeza sauti baada ya mda nakuta imepungua. Nimejaribu kuset kila kona wapi mpaka nikalidefoult lakin wapi mpaka sasa inaongea sauti ndogo sielewi nakosea wap, msaada kwa wataalamu wanaozijua zaidi izi sony.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwema kabisa.... kwa ninavyofahamu mimi...hapo utakuwa unakumbana na matatizo kati ya haya matatu;

1. Output device(TV, mobile e.t.c) ina power kubwa sana au unakuwa umeweka volume kubwa sana then unaingiza kwenye HTS(Home Theatre System) yako kwa hiyo inajitahidi ku-regulate input data ili kulinda amplifier yake. Kutatua hili jaribu wakati wote unapounganisha na device ya nje basi volume ya device ya nje isizidi 70% mkuu. au ni vizuri iwe 50% kabisa wewe cheza na sauti ya HTS lako na utaridhika fresh kabisa.

2. Kwenye settings za HTS yako upande wa AUDIO kuna mahali unaswitch Atomatic noise clarity either ON or OFF...angalia kama iko ON.... wewe rekebisha weka OFF.

3. Unaweza kuwa umeuziwa HTS ambayo sio genuine...namaanisha kwamba umenunua ambayo ilishakufa ikawekewa engine ya Aborder au Sea Piano.... so inashindwa kuendana na uhalisia wake.... hizi HTS zenye engine ya Sea piano au aborder ziko sana madukani na ni kama mpya kabisaaaa.....

I hope nimekujibu mkuu wangu
 
Reactions: SIM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…