Sema kuzipata sasa
Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Sasa usiponunua Sony kwa mziki mkali wa nyumbani kwa soko letu la bongo utanunua kipi zaidi? Walau Panasonic Hometheatre ndio wanaweza cheza ligi moja na Sony japo adimu sana sokoni. Ila wengine matapeli tu hasa wale wakorea Shamesung na mwenzie LifeGoat!
Pamoja mkuu itabd kutembelea hawa dealers waoZipo kwa deal mfano pale mliman city ipo. Arusha kwa benson zipo tena pale kuna home theatre zote na wao watakuambia kwenye hiz ya budget yaan chini ya 1.5m milion kushuka chini ni hii ya panasonic sony zote chal sio lg wala samsung. Kwanza bass yake kubwa. Pili surrounding zake kila moja ina spika mbili mbil tofaut na hiz za dav ambazo kila moja inaspika moja moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi hii Sony yangu nilinunua hapo hapo kwa Benson na kwa bei ya chini ya 1Million...Zipo kwa deal mfano pale mliman city ipo. Arusha kwa benson zipo tena pale kuna home theatre zote na wao watakuambia kwenye hiz ya budget yaan chini ya 1.5m milion kushuka chini ni hii ya panasonic sony zote chal sio lg wala samsung. Kwanza bass yake kubwa. Pili surrounding zake kila moja ina spika mbili mbil tofaut na hiz za dav ambazo kila moja inaspika moja moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee umenikumbusha Aiwa ni shida kabisa. Si tunalo nyumbani tokea 2004 mpaka leo bado mziki wake ni mneneKama shida ni mziki mzuri tafuta radio mtumba aina ya Aiwa ilio ktk hali nzuri ya mjapani nunua deck yako ya singsang hutojuta kbs.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta la cd 5 liongezee na speaker 2 nyingine za kampuni hiyo hiyo ya Aiwa nakwambia unaweza kujenga chuki na majirani au kukaribisha majambawazi.Aisee umenikumbusha Aiwa ni shida kabisa. Si tunalo nyumbani tokea 2004 mpaka leo bado mziki wake ni mnene
😂😂 kabisaa yaani hiyo kitu isikie kwa mwingine. Alafu ni ngumuu haiharibiki.Tafuta la cd 5 liongezee na speaker 2 nyingine za kampuni hiyo hiyo ya Aiwa nakwambia unaweza kujenga chuki na majirani au kukaribisha majambawazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajui kuiseti, mwambie aingie settings za speaker!
Nkunda hizo setting mghoshiYeahz, kuna jamaa juzi nilimpa maelekezo amefurahia sana. Mwanzo alikuwa hainjoi mziki wake.
Mie ninayo hio ikiwa kwenye default settings unaeza sema fake maana ziki linakuwa jepesi sana!
Picha yake tafadhal mana sijawah ata kuiona[emoji23][emoji23] kabisaa yaani hiyo kitu isikie kwa mwingine. Alafu ni ngumuu haiaribiki.
Ikizidi watts lazima ionekane bora maana kishindo chake kitakuwa zaidi ila hamna hometheatre ya 2000watts so far! Kati ya hizo brand mbili..sahivi ndio kwanza wanatoa za 1200watts!Mkuu mimi hii Sony yangu nilinunua hapo hapo kwa Benson na kwa bei ya chini ya 1Million...
Labda tuseme kila mtu na kitu anachopenda, ni sawa sawa na uchaguzi wa magari, kuna wanaosema GX100 ni mashine kuliko Subaru na kuna wanaobisha hvo hvo!
Mimi nakubishia mkuu kwamba Panasonic ni zaidi ya Sony, chukua Panasonic ambayo ni 1000Watts na SONY 1000Watts zilinganishe utanambia....
Wewe unachukua li-Panasonic likubwa unakuta hata 2000Watts unakuja linganisha na hizi DAV zetu mkuu kweli aiseee[emoji3][emoji3][emoji3] si lazima tukalishwe aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah mndee uza ughua huo mdundo!?Nkunda hizo setting mghoshi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niko nao mghoshiHahah mndee uza ughua huo mdundo!?
Kweli kabsa...hakuna chombo cha mziki cha maana kama sony. Lg nao cyo haba lakin hakuna kitu pale, washindabe kweny friji na tv basi. Kuna yamaha, pioneer, samsung na lg zenyew bado hazion ndani. Sony mziki wake upo clear sana.
Bora ugoogle tu.Picha yake tafadhal mana sijawah ata kuiona
Hongea sana mndee iwe u kwa kiele sa uja mbwange pielee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niko nao mghoshi
Yani mpenzi wa mziki mnene anaachaje kuujua huu mziki?! Atakuwa ayupo serious...DAV650 atabaki kuwa juu!Bora ugoogle tu.
Nashangaa watu wengi hawaifahamu.
Mkuu hizo sijawah ziona live, nimechk youtube. Bongo hizo hakuna huku labda mtu anunue kwa ebayYamaha na pioneer hizi ninazozijua mimi?
Mti wenye matunda.