Tatu na nusu mi nakupa.
made in wapi?
Tatu na nusu mi nakupa.
nime ku pmPicha zake hzo wadau
Nauza Sony bravia 4k za mwaka jana inch 32..nmenunua mwaka jana mwezi was 11..bei ni laki 5 na nusu..haina tatizo lolote..kwa anaehitaji anipm
Kaka upo wapi mimi nipo arusha, je box lake lipo mana ntaisafirisha kwenda mikoani.Nauza Sony bravia 4k za mwaka jana inch 32..nmenunua mwaka jana mwezi was 11..bei ni laki 5 na nusu..haina tatizo lolote..kwa anaehitaji anipm
Kaka upo wapi mimi nipo arusha, je box lake lipo mana ntaisafirisha kwenda mikoani.
Ebu kaulzie dukan alaf ndo urud tena... Apo haishuki mkuu
kwani hapa ni dukani?,bei ya dukani na bei ya mkononi ni totauti,dukani wanalipa kodi tra,wanalipa pango,wanalipa wafanyakazi,hope umeona tofauti
Ndo maan nkasema aliyeserious anifte inbox kwa maelewano..hulazimishwi kak,alaf bila Shaka hujui hyo tv..ni 4k zilzokuwa znatangazwa kombe la dunia sio zile za mwanza,aya nenda na pesa hyo kachukue dukan
halafu utannua wapi movie za 4k kuangalia?