Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,618
ukienda mlimani city, hiyo tv ya huyu jamaa wanauza laki sita na nusu. kama upo dar sioni sababu ya kununua tv iliyotumika toka mwaka jana kwa laki tano+gharama za kutumiwa dar, usalama wake utakuwa mashakani na haujui ina tatizo gani mpaka anauza. Ni bora uende mlimani city la laki sita na nusu yako tena duka la sony ufanye mambo ya uhakika pamoja na guarantee