Nauza Sony bravia 4k za mwaka jana inch 32..nmenunua mwaka jana mwezi was 11..bei ni laki 5 na nusu..haina tatizo lolote..kwa anaehitaji anipm
weka namba ya simu tuongee hiyo biashara nahiitaji mkuu
Nauza Sony bravia 4k za mwaka jana inch 32..nmenunua mwaka jana mwezi was 11..bei ni laki 5 na nusu..haina tatizo lolote..kwa anaehitaji anipm
weka namba ya simu tuongee hiyo biashara nahiitaji mkuu
kama unapokea laki tatu na nusu kesho asubuhi tufanye biashara, gharama za kutuma kutoka mwanza kuja dar ni juu yangu0717420211
kama unapokea laki tatu na nusu kesho asubuhi tufanye biashara, gharama za kutuma kutoka mwanza kuja dar ni juu yangu
Kwa hyo bei yako inakudodea ni bora tu ubadilishe mawazo usiuze,yani kitu kikoshatoka tu dukani bei yake inashuka 50% kibongobongo
Kwani lazima utumie movie za 4k...kwan ukinunua deck ya DVD player lazma utumie DVD kam hauna c unatumia ata vcd..haimaniish kwamba inatumia movie za 4k 2pu
Mkuu zipo nyingi au unayo moja tu
mjaa naitaka Nina Mia 370 nipo dar sasa Nina waungwana kama 100 wapo mwanza sema hupo wapi niwatumie sema unataka nimtume wa haiana ganiTatu na nusu mi nakupa.
Nauza Sony bravia 4k za mwaka jana inch 32..nmenunua mwaka jana mwezi was 11..bei ni laki 5 na nusu..haina tatizo lolote..kwa anaehitaji anipm
Unapatikana wapi
uko mza maeneo gan nije niichek
mjaa naitaka Nina Mia 370 nipo dar sasa Nina waungwana kama 100 wapo mwanza sema hupo wapi niwatumie sema unataka nimtume wa haiana gani
Kuna mwenzio kaja 450 cash nmekataaa...katafte samsung inch inch 23 led unapata kwa pesa hiyo
dah mwangu 550 kuirudisha mbaka refers dar log. Nniletee dar 500 hipo nakaa ununio tegeta