Sonona! imenielemea. Msaada!

Sonona! imenielemea. Msaada!

Pole sana mkuu kwa magumu unayopitia!
Mwenyezi Mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki.
 
Nimekuwa ni kama sielewi Dunia inavyoenda, mawazo mengi mabaya yanazunguka kichwani mwangu na sijui nitaweza vipi kuiepuka hali hii ambayo inazidi kuweka mizizi na nashindwa kuimudu.

Haya yalianza miaka miwili iliyopita ambapo kwenye familia yetu tulipoipoteza nguzo muhimu, nguzo Baba. Aliondoka na kutuachia wagonjwa wawili ambao wakati wa uwepo wake alipambana kuhakikisha wapo salama. Mdogo wangu alikuwa na kichwa kikubwa na kilijaa maji mara kwa mara, pia alimuacha Mama ambae alikuwa na maradhi makubwa kidogo ambayo yalihitaji pesa nyingi sana kukabiliana nayo. Baada ya msiba huo Wadai wakajitokeza na kuchukua asilimia kubwa ya mali zilizoachwa na ni kweli, kwa sababu ya uhitaji wa pesa wakati huo alijikuta akiingia kwenye madeni makubwa.
Mzigo nikaubeba na ikawa ni mimi na wagonjwa na familia yangu ya mke na watoto wawili. Nilipambana kadri ya uwezo wangu, nikaingia kweny moja ya bank na kukopa kwa dhamana ya kazi, mzigo bado ukawa mgumu kuubeba lakini sikukata tamaa hadi pale ambapo kila njia ikawa haiwezi kunitoa na hapo ndipo kichwa kikajaa mawazo mengi ambayo sasa yamenifikisha kwenu waungwana. Nikiwa bado kwenye mtanziko wa kifedha, mdogo wangu aliyekuwa mgonjwa aliaga Dunia mwaka Jana mwezi wa nane, likawa tatizo lingine kwa Mama ambae alianza kupata nafuu, alirudi kuugua upya Kwa sababu mdogo wangu alikuwa ni kipenzi chake angalau kuliko sisi wengine. Mwaka huohuo mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili binafsi nikaguswa moyo wangu, mwanangu wa miaka sita alifariki kwa homa ya siku mbili, hapo tatizo likaongezeka zaidi Kwa sababu nikawa na kazi ya kumliwaza mke wangu, mama yangu nae akiwa mikononi mwangu. Nikiwa bado sijapona vizuri maumivu ya wapendwa wangu, mwezi huu tareh 20 nikapoteza tena mwanangu wa mwisho wa miaka minne. Hakika hapa nilipo kila wazo baya naona sahihi... Huku Mama mgonjwa, sasa ni mke wangu nae hayupo Sawa, anazimia kila mara. Nimejibeba kijasiri Sana lakini naona kama akili imeganda hivi....

Nahitaji ushauri wenu wa hali na mali nijue najiondoaje kwenye hali hii.... Mwenye kuweza kunipigia namba yangu ni 0785256311.

Mungu awabariki
pole sanaa ndugu ila niambie tu hiyo ni mipango ya mungu ingekuwa karibu na kambi ya wakimbizi ningekupa mbinu ya kuondoa sonono ila fanya hivi amka asubuhi nenda hospitali ya rufaa yeyote iliyokaribu yako nenda hata na maji va voice vya katoni hata moja na biskuti uwagaie wagonjwa waliolazwa wodi mbalimbali utakuja kunishikuru.
 
Nimekuwa ni kama sielewi Dunia inavyoenda, mawazo mengi mabaya yanazunguka kichwani mwangu na sijui nitaweza vipi kuiepuka hali hii ambayo inazidi kuweka mizizi na nashindwa kuimudu.

Haya yalianza miaka miwili iliyopita ambapo kwenye familia yetu tulipoipoteza nguzo muhimu, nguzo Baba. Aliondoka na kutuachia wagonjwa wawili ambao wakati wa uwepo wake alipambana kuhakikisha wapo salama. Mdogo wangu alikuwa na kichwa kikubwa na kilijaa maji mara kwa mara, pia alimuacha Mama ambae alikuwa na maradhi makubwa kidogo ambayo yalihitaji pesa nyingi sana kukabiliana nayo. Baada ya msiba huo Wadai wakajitokeza na kuchukua asilimia kubwa ya mali zilizoachwa na ni kweli, kwa sababu ya uhitaji wa pesa wakati huo alijikuta akiingia kwenye madeni makubwa.
Mzigo nikaubeba na ikawa ni mimi na wagonjwa na familia yangu ya mke na watoto wawili. Nilipambana kadri ya uwezo wangu, nikaingia kweny moja ya bank na kukopa kwa dhamana ya kazi, mzigo bado ukawa mgumu kuubeba lakini sikukata tamaa hadi pale ambapo kila njia ikawa haiwezi kunitoa na hapo ndipo kichwa kikajaa mawazo mengi ambayo sasa yamenifikisha kwenu waungwana. Nikiwa bado kwenye mtanziko wa kifedha, mdogo wangu aliyekuwa mgonjwa aliaga Dunia mwaka Jana mwezi wa nane, likawa tatizo lingine kwa Mama ambae alianza kupata nafuu, alirudi kuugua upya Kwa sababu mdogo wangu alikuwa ni kipenzi chake angalau kuliko sisi wengine. Mwaka huohuo mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili binafsi nikaguswa moyo wangu, mwanangu wa miaka sita alifariki kwa homa ya siku mbili, hapo tatizo likaongezeka zaidi Kwa sababu nikawa na kazi ya kumliwaza mke wangu, mama yangu nae akiwa mikononi mwangu. Nikiwa bado sijapona vizuri maumivu ya wapendwa wangu, mwezi huu tareh 20 nikapoteza tena mwanangu wa mwisho wa miaka minne. Hakika hapa nilipo kila wazo baya naona sahihi... Huku Mama mgonjwa, sasa ni mke wangu nae hayupo Sawa, anazimia kila mara. Nimejibeba kijasiri Sana lakini naona kama akili imeganda hivi....

Nahitaji ushauri wenu wa hali na mali nijue najiondoaje kwenye hali hii.... Mwenye kuweza kunipigia namba yangu ni 0785256311.

Mungu awabariki
Kama unaamini kwa MUNGU sali sana yaan usiwe mguu nje mguu ndani atakujibu, na kama unaamini kwa upande wa pili piga ramli kadri uwezavyo yaan uwe huko kwa ,, unaemuamini atakujibu,, wakati unasubiri majibu pita kuona wagonjwa hata na sabuni tuu hospitali iliyokarbu na ww, usisahau pia kujichanganya na watu,, km mpka sahv hujafanya maamuz magum, niseme tuu una moyo wa chuma broo,, palpobaki ni padogo kulko ulkotoka,, POLE MKUU
 
Kwa hali uliyo nayo mpe Yesu maisha yako, Anasema njoni kwangu ninyi msumbukao na kulemewa na mizigo nami nitawapumzisha. Mathayo 11:28. Hilo ndilo jibu pekee linaweza kuwasaidia.
 
Unaweza kua una teseka sana kumbe tatzo likawa kwenye mambo ya kiukoo
 
Pole Mkuu hakika mtegemeeni Allah maana yeye ndo mwenye majibu sahihi ya majibu yetu.
 
Upo kwenye Dark Night of the soul,ama wengine huita Ego Death.
Kuifikia hyo stage siyo kitu rahisi,ni aidha kupitia Deep Meditation,Ama wengine hutumia Madawa yanaitwa Psychedelic..ama wengine kama wewe kupitia painful events kwenye maisha.

Mshana Jr ongezea jambo
 
Nimekuwa ni kama sielewi Dunia inavyoenda, mawazo mengi mabaya yanazunguka kichwani mwangu na sijui nitaweza vipi kuiepuka hali hii ambayo inazidi kuweka mizizi na nashindwa kuimudu.

Haya yalianza miaka miwili iliyopita ambapo kwenye familia yetu tulipoipoteza nguzo muhimu, nguzo Baba. Aliondoka na kutuachia wagonjwa wawili ambao wakati wa uwepo wake alipambana kuhakikisha wapo salama. Mdogo wangu alikuwa na kichwa kikubwa na kilijaa maji mara kwa mara, pia alimuacha Mama ambae alikuwa na maradhi makubwa kidogo ambayo yalihitaji pesa nyingi sana kukabiliana nayo. Baada ya msiba huo Wadai wakajitokeza na kuchukua asilimia kubwa ya mali zilizoachwa na ni kweli, kwa sababu ya uhitaji wa pesa wakati huo alijikuta akiingia kwenye madeni makubwa.
Mzigo nikaubeba na ikawa ni mimi na wagonjwa na familia yangu ya mke na watoto wawili. Nilipambana kadri ya uwezo wangu, nikaingia kweny moja ya bank na kukopa kwa dhamana ya kazi, mzigo bado ukawa mgumu kuubeba lakini sikukata tamaa hadi pale ambapo kila njia ikawa haiwezi kunitoa na hapo ndipo kichwa kikajaa mawazo mengi ambayo sasa yamenifikisha kwenu waungwana. Nikiwa bado kwenye mtanziko wa kifedha, mdogo wangu aliyekuwa mgonjwa aliaga Dunia mwaka Jana mwezi wa nane, likawa tatizo lingine kwa Mama ambae alianza kupata nafuu, alirudi kuugua upya Kwa sababu mdogo wangu alikuwa ni kipenzi chake angalau kuliko sisi wengine. Mwaka huohuo mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili binafsi nikaguswa moyo wangu, mwanangu wa miaka sita alifariki kwa homa ya siku mbili, hapo tatizo likaongezeka zaidi Kwa sababu nikawa na kazi ya kumliwaza mke wangu, mama yangu nae akiwa mikononi mwangu. Nikiwa bado sijapona vizuri maumivu ya wapendwa wangu, mwezi huu tareh 20 nikapoteza tena mwanangu wa mwisho wa miaka minne. Hakika hapa nilipo kila wazo baya naona sahihi... Huku Mama mgonjwa, sasa ni mke wangu nae hayupo Sawa, anazimia kila mara. Nimejibeba kijasiri Sana lakini naona kama akili imeganda hivi....

Nahitaji ushauri wenu wa hali na mali nijue najiondoaje kwenye hali hii.... Mwenye kuweza kunipigia namba yangu ni 0785256311.

Mungu awabariki
 
Pole sana na amini yatapita tuu, aliyesema karafuu inawezekana ni kweli, mimi nikinywa chai ya karafuu huwa najisikia vizuri sana na mood yangu inadilika kabisa inakuwa nzuri , na inavyonukia najisikia vizuri sana, jaribu inaweza kukupa mood nzuri
 
Tumia karafuu ndo dawa ya ugonjwa uo wa sonona

Mwaka jana nilikuwa nimepigwa na ugonjwa uo baada ya kupitia matukio fulani katika maisha yangu
Nilipata matatizo kweli kweli
Mwanzo nilikuwa nafikiri nimerogwa kabisa
Na kila nikienda hospitali kinaonekana sina tatizo lolote kabisa linalo ni sumbuwa
Nilikuwa ninahisi ninaweza kukimbia porini
Nilihisi nina matatizo ya moyo kwasababu mapigo ya moyo yalikuwa wanapiga kasi
Nilitamani kufa kwasababu ya mateso ambayo nilikuwa nayo bila msaada

Lakini kuna mtu ambaye aliniambia dawa ya ugonjwa uo ni karafuu mimi nilikuwa sijui sonona
Mimi nilikuwa nafikiri ni uchawi tu
Lakini baada ya mtu fulani kusikia maelezo yangu ndo akaniambia wewe una matatizo ya sonona na dawa yake ni karafuu nilivyo anza kutumia karafuu akili yangu niliona imeanza kutulia uoga umenitoka
Mpaka nikapona
Na nimesaidia watu wengi na wao wamepona kabisa
Kwa hiyo ndugu yangu kama una matatizo ya sonona kweli sio mengine dawa ya ugonjwa uo ni karafuu
Karafuu unaifanyaje sasa mkuu...?
 
Nimekuwa ni kama sielewi Dunia inavyoenda, mawazo mengi mabaya yanazunguka kichwani mwangu na sijui nitaweza vipi kuiepuka hali hii ambayo inazidi kuweka mizizi na nashindwa kuimudu.

Haya yalianza miaka miwili iliyopita ambapo kwenye familia yetu tulipoipoteza nguzo muhimu, nguzo Baba. Aliondoka na kutuachia wagonjwa wawili ambao wakati wa uwepo wake alipambana kuhakikisha wapo salama. Mdogo wangu alikuwa na kichwa kikubwa na kilijaa maji mara kwa mara, pia alimuacha Mama ambae alikuwa na maradhi makubwa kidogo ambayo yalihitaji pesa nyingi sana kukabiliana nayo. Baada ya msiba huo Wadai wakajitokeza na kuchukua asilimia kubwa ya mali zilizoachwa na ni kweli, kwa sababu ya uhitaji wa pesa wakati huo alijikuta akiingia kwenye madeni makubwa.
Mzigo nikaubeba na ikawa ni mimi na wagonjwa na familia yangu ya mke na watoto wawili. Nilipambana kadri ya uwezo wangu, nikaingia kweny moja ya bank na kukopa kwa dhamana ya kazi, mzigo bado ukawa mgumu kuubeba lakini sikukata tamaa hadi pale ambapo kila njia ikawa haiwezi kunitoa na hapo ndipo kichwa kikajaa mawazo mengi ambayo sasa yamenifikisha kwenu waungwana. Nikiwa bado kwenye mtanziko wa kifedha, mdogo wangu aliyekuwa mgonjwa aliaga Dunia mwaka Jana mwezi wa nane, likawa tatizo lingine kwa Mama ambae alianza kupata nafuu, alirudi kuugua upya Kwa sababu mdogo wangu alikuwa ni kipenzi chake angalau kuliko sisi wengine. Mwaka huohuo mwanzoni mwa mwezi wa kumi na mbili binafsi nikaguswa moyo wangu, mwanangu wa miaka sita alifariki kwa homa ya siku mbili, hapo tatizo likaongezeka zaidi Kwa sababu nikawa na kazi ya kumliwaza mke wangu, mama yangu nae akiwa mikononi mwangu. Nikiwa bado sijapona vizuri maumivu ya wapendwa wangu, mwezi huu tareh 20 nikapoteza tena mwanangu wa mwisho wa miaka minne. Hakika hapa nilipo kila wazo baya naona sahihi... Huku Mama mgonjwa, sasa ni mke wangu nae hayupo Sawa, anazimia kila mara. Nimejibeba kijasiri Sana lakini naona kama akili imeganda hivi....

Nahitaji ushauri wenu wa hali na mali nijue najiondoaje kwenye hali hii.... Mwenye kuweza kunipigia namba yangu ni 0785256311.

Mungu awabariki
Dah pole sana mkuu jipe moyo kadiri kunapokuwa giza nene ndipo asubuhi hukaribia.

Muamini MUNGU, sali sana utashinda.
 
Jipe Moyo ndugu, ni kweli sonona inaua ukicheza.. Jambo la kwanza kabisa inakubidi ukubali kuwa majanga yote yametoka na si ndoto, na sio kosa lako but nature. Maana hata kama inge kuwa nini.. Bado wangekufa tu hapa dunian.. Shida wamewahi. Hii, pia msisitize wife a kubali.. KinachoMsumbua sasa ni trauma.. Akikubali imetokea atapunguza mshtuko. Pili, inabidi kutafuta kujua hii nature imetenda kama mapenzi yake au sio? Huenda kweli walikufa kwa kuwa au kimazingara... Tafuta ukweli kwa madaktari kujua shida hasa iliyotojea, pili kama alivyosema mkuu, nenda kwa wanaukoo kujua Kuna kitu gani kinaweza kuwa nyuma ya matukio hayo.

Nashauri iwapo utajua kuwa Kuna kitu cha kiukoo kunahitaji matambiko au la.. Jitahidi Sana kusali, maana kama Kuna matambiko.. Jua hata ukitoka sasa inakubidi uendelee kutoa ili maisha yaende. Mungu ndio anaweza vunja mnyororo wa mateso hayo. Hivyo tafuta mtumishi wa Mungu wa kweli... Akuongoze maombi ya ukombozi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom