Boran Jakutay
Senior Member
- Apr 8, 2023
- 110
- 261
Mwendazake karudi tena!? Maana tuliaaminishwa na watu flani flani kua Mwendazake alikua Dikteta!!WINGU jeusi limetanda wilayani Mbozi katika Mkoa wa Songwe baada ya miili ya watu watano wasiofahamika kukutwa imetupwa kwenye msitu wa Mlima Senjele pembezoni mwa Barabara Kuu ya Tanzania na Zambia (TANZAM).
Kupita Kanda ya ziwa specifically Geita na Mara?Ila ukanda wa Mbeya na Songwe hali ni mbaya mnoo.
Jinsi alivyoendesha chaguzi za serikali za mitaa 2019 , uchaguzi mkuu 2020 na zile chaguzi ndogo.Mwendazake karudi tena!? Maana tuliaaminishwa na watu flani flani kua Mwendazake alikua Dikteta!!
Ningeshanga nisingeikuta hii komenti, wafuasi wake mko kama mmeprogramiwa.Mwendazake karudi tena!? Maana tuliaaminishwa na watu flani flani kua Mwendazake alikua Dikteta!!
Ingekua wasomalia wangesema, so hao ni watanzania. Magufuli muuaji karudi tena?Sio miili ya Waethiopia ama Wasomali kweli? Maana hio njia huwa inasafirisha sana wahamiaji haramu na in most cases wanakosa hewa humo wanamohifadhiwa.
Nilihisi hivyo hivyo pia.Sio miili ya Waethiopia ama Wasomali kweli? Maana hio njia huwa inasafirisha sana wahamiaji haramu na in most cases wanakosa hewa humo wanamohifadhiwa.
Kila tukio lilikua Magufuli, ndio maana tunahoji Magufuli karudi tena au zilikua Propaganda?Mwaka jana kuna miili iliokotwa huko Tanga,hatukusikia zile kelele kutoka kwa wapiga ramli.Ningeshanga nisingeikuta hii komenti, wafuasi wake mko kama mmeprogramiwa.
Ila ukanda wa Mbeya na Songwe hali ni mbaya mnoo.
Huko lake zone ni special case.kupita Kanda ya ziwa specifically Geita na Mara?
Duuuh hatari mnooo.Huko wanaishi wanyama watu.
GeitaHuko lake zone ni special case.
Ndio zenye mashiko. Za lumumba sote twazijua Kama vile mawaziri kufumaniwa na kuficha ukweli.Nasubiri comment kutoka UFIPA