Habari wadau natumaini mu wazima Wa afya njema.napanda jukwaani kuomba msaada kuhusu hili .
Nimekuwa nikiona kwa baadhi ya watu wanaposokiliza mziki/ nyimbo kupitia handset zao lyrics za nyimbo hiyo hujitokeza kwenye screen taratibu kufuatana na speed ya nyimbo inayoplay kitu ambacho humrahisishia msikilizaji Wa nyimbo kuyaelewa mashairi ya nyimbo husika .
Swali langu ni je nifanyaje ili nami niweze kupata Huduma hiyo kwenye simu yangu ? Ni hayo tu