Route mpya hiyooo
itaokoa muda sana kuliko ya makambako njombe watu wabunifuRoute mpya hiyooo
Lakini njia hiyo ni ndefu kuliko makambako lakini ina advantage ya kuwa na low trafic , magari machacheitaokoa muda sana kuliko ya makambako njombe watu wabunifu
Route mpya hiyooo
Mabasi karibu yote yanayofanya safari kati ya Dar na Songea sasa yanapita njia ya Dar-Lindi-Tunduru mpaka Songea, na hii ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Tunduru to Songea.super feo route mpya ama maelezo kidgo...
kazi kwao kupata jiji sasa...Mabasi karibu yote yanayofanya safari kati ya Dar na Songea sasa yanapita njia ya Dar-Lindi-Tunduru mpaka Songea, na hii ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Tunduru to Songea.