Songea,Lindi to Dar. Route,we are waiting for the standard gauge railway.

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,907
2,092
Usafiri wa busi almost kila mkoa,tunasubiri reli sasa.
FB_IMG_1484412280833.jpg
 
Maisha yanabadilika sana zamani ilikua Mtwara songea njombe moro dar...
 
Kwamba Songea , Lindi hadi Dar ni km ngapi pungufu ya songea makambako dar? Na kiwango cha pesa je?
 
super feo route mpya ama maelezo kidgo...
Mabasi karibu yote yanayofanya safari kati ya Dar na Songea sasa yanapita njia ya Dar-Lindi-Tunduru mpaka Songea, na hii ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Tunduru to Songea.
 
Mabasi karibu yote yanayofanya safari kati ya Dar na Songea sasa yanapita njia ya Dar-Lindi-Tunduru mpaka Songea, na hii ni baada ya kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Tunduru to Songea.
kazi kwao kupata jiji sasa...
 
Back
Top Bottom