Songea kuwa Jiji?

Hapa ni mji kati kabisa,, national stand ya zamani
 
Songea [Ruvuma]
Inaweza Kuwa Jiji Tu Maana Baadhi Ya Majiji Unayoyasikia Yamepewa Kisiasa Hata Arusha Ingia Mtaani Utashangaa Ilipataje Hadhi Ya Jiji
 
Kama huku nilipo ni jiji acha tu Songea nai wawe jiji.
 
Hiyo picha ni recently au ya kitambo mkuu?
Mbona ni pa hovyo sana, waambie wenyeji waongeze bidii kujenga nyumba standard
 
Napapenda sana Songea ila suala la kua jiji ni uongo labda kwasababu ya influence ya NCHIMBI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…