Mkendo JF-Expert Member Joined Oct 14, 2013 Posts 3,142 Reaction score 2,242 Sep 10, 2014 #61 Poleni Majeruhi wote mliopata Ajali na wale waliopeteza Ndugu zao Mwenyezi Mungu awape Moyo wa Subira katika wakati huu Mgumu wa Msiba.
Poleni Majeruhi wote mliopata Ajali na wale waliopeteza Ndugu zao Mwenyezi Mungu awape Moyo wa Subira katika wakati huu Mgumu wa Msiba.
Jamiix JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 950 Reaction score 680 Sep 10, 2014 #62 Mungu amewalinda wengi zaidi kutokana na ukubwa wa ajali,tazama picha