mkachu
Senior Member
- Dec 20, 2012
- 136
- 42
Nchi ina waziri wa usafirishaji na uchukuzi, kuna kamanda wa vikosi vya usalama barabarani nini wajibu wao kwa haya yanayotokea!?!?
Kazi yao ni kutoa matamko yasiyo na mashiko
Nchi ina waziri wa usafirishaji na uchukuzi, kuna kamanda wa vikosi vya usalama barabarani nini wajibu wao kwa haya yanayotokea!?!?
hizi ajali zilizofululiza wiki 2 hizi, zinahusisha mabasi ya kichina yaani YUTONG.
mi nadhani pia tuangalie hilo, isije ikawa ni mechanical failures za Chinese machines
Picha za ajali
![]()
![]()
![]()
hiziivha ndo za super feo.????