Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,163
- 11,230
Watu wawili wamefariki dunia na wengine zaidi ya 20 wamejuruhiwa baada ya basi la kampuni ya Super Feo kupinduka katika eneo la Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea.
Basi hilo lilikuwa likitokea Songea kwenda mkoani Mbeya.
Bonyeza hapa chini ,kusikiliza
[JFMP3]https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=184284&d=1410346291[/JFMP3]
Chanzo: ITV Breaking news