milioni milioni
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,845
- 1,064
Hisia za moyoni 2napakua wapi wadau.
Huo mtazamo wako, wengine tunamuona wa kawaida tu. Kwa wasanii wa Tamadun/waliopita hapo mimi listi ya top5 ntakupangia hivi,
1. Nick Mbishi
2. One Incredible
3. Stereo
4. Nash MC
5. P The MC or Songa or Male
Mwanga wa kuwanga huwezi kuja ninapanga lakupanga S.O.N.G.A THE UNLIMITED BINAFSI NAMKUBALI ZAIDI YA Azma. Nasali kila siku sio lazima sala kwenye msala......Public Enemy nani mkali kati ya Azma na Songa a.k.a story teller
Hisia za moyoni 2napakua wapi wadau.
Public Enemy nani mkali kati ya Azma na Songa a.k.a story teller
Mune kabisa mambo anayo immba mkuu https://www.youtube.com/watch?v=z4_6Xc68UBg halafu mune na Songa pia https://www.youtube.com/watch?v=9YSgqsBrNM8Nitajie ngoma za uyo azma... mana ndo nimemjua humu... nimskilize