Nchi ndogo km Botswana inaingia mara 20 kwa Tanzania..lkn wanaweza kuheshimiana, viongozi wanawaheshimu raia na raia wanaheshimu viongozi..appointments zinafanyika kwa merits..huwezi tarajia kwa mtu mwenye background km hii ya Profesa Kenosi aelekeze watu/raia wakosoaji wa serikali kutekwa, kuuawa, kuteswa nk badala ya kushughulikia matishio ya nchi kiuchumi, kiteknolojia nk kutoka mataifa ya nje..appointments za Tanzania sifa ya kwanza wewe ni dini gani..! Ma-DGIS 3 walioondolewa na huyu aliyepo wote ni wa dini moja..matokeo yake idara hii imegeuka genge la wahalifu dhidi ya raia wanaowatunza wao na familia zao..
Km wana akili ya kujifunza, mfano huu kutoka Botswana ni mzuri kwao kujifunza..!