Somo - Learn to wait!

Tulizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
848
Reaction score
664
Somo - Learn to wait! Angalia atakachofanya huyo mdogo..

[video=youtube_share;YPHhnA14PGc]http://youtu.be/YPHhnA14PGc[/video]
 
Dogo alikuwa anasubiri filimbi ipulizwe kachangamkia fursa haraka mno hakuweza kuwapa wenzake nafasi
 
Hahahaha dogo kachangamka wale makubwa majinga yamezubaa tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mbona sioni kitu hapo?? au hii wapsite imechakachuliwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…