obsesd
JF-Expert Member
- Nov 23, 2011
- 1,225
- 530
Ndio naitafuta ndoa
mmh ok sasa mbona uko na mtazamo hasi saana!
Ndio naitafuta ndoa
Huu uzi ni wa KIPUUZI....
Yaani badala ya kupeana somo tuishi vipi kwenye ndoa zetu tunafundishana kucheat...
Hebu tujifunze kutoka kwa bibi zetu ambao wamedumu na babu zetu hadi leo...sio kama wanaume walikua hawana maudhi that time lahasha walikua nayo mengi pengine kuliko wanaume wa sasa ila walikua wana busara sana na kufanya kila njia kuboresha ndoa zao na kusameheana n.k....
Mie mshamba....
Hili nalo neno, mpango mzma ni kuchangamkia fursa..... Maana hawa wanaume c wa2 wa mchezo. Geuza changamoto kuwa fursa mdada
Hapana we sio mshamba, Bali unaona Kwa usahihi jambo hili, hujavaa miwani kama mleta maada .Huu uzi ni wa KIPUUZI....
Yaani badala ya kupeana somo tuishi vipi kwenye ndoa zetu tunafundishana kucheat...
Hebu tujifunze kutoka kwa bibi zetu ambao wamedumu na babu zetu hadi leo...sio kama wanaume walikua hawana maudhi that time lahasha walikua nayo mengi pengine kuliko wanaume wa sasa ila walikua wana busara sana na kufanya kila njia kuboresha ndoa zao na kusameheana n.k....
Mie mshamba....
Sijui nitakupataje wewe uwe mke wa pili! Ila mke mkubwa sijui atatoa ruhusa?! Muhusika njoo hapa utoe neno!
Huyu niliyenaye akisema tu anaenda kuhalalisha ndoa atanikoma.
Nasubili kuvaa shera baada ya hapo tutapishana guest.
Bye
Kwel ubaya ubaya
Nyani Ngabu hebu customize this thing tupate na for men.
Sababu ya kupima ni nini kama hakuna sex...
Unanchekesha ujue...
Sasa ikiwa nimeoa na mke akawa na tabia hizi..nitatofautishaje kuwa ndio kaanza kucheat au ndio mwenendo wake?
1.zidisha upendo kwa mumeo ili asikugundue
2.heshima izidi maradufu kwa mumeo
3.kutaneni sehemu za mbaliiiiii na nyumbani.
,4.tafuta kidumu 40 and above
5..awe ameoa pia ili msianze kugandana na kuharibiana.
6.ikiwezekana tafuta kisafari uongo na kweli mkaenjoy.
ANGALIZO
1.special for married women only
2.kupima kwanza.
3.penetration sex is not necessary.
KAMATA FULSA TWE NZETU.
SIO KUJILIZA KILA SIKU UNAPATA MIPRESSURE MWISHOWE UJE UFE NA KUACHA WANAO NA MAMA WA KAMBO.
ACHA KUSUMBUA WAZAZI NA KUWAPA PRESSIRE NA MIKESI YA USULUHSHI YASIYOISHA.
Hii ndio only dawa ya BROKEN HEART.
KAMA INAKUKERA PITA KIMYA.
Duuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!ngoja nijipitie zangu, nisubiri mpaka nitakapokuwa na jiko ndani
Huyu niliyenaye akisema tu anaenda kuhalalisha ndoa atanikoma.
Nasubili kuvaa shera baada ya hapo tutapishana guest.
Bye
Watu8 usijifanye huelewi we sema umekasirika tu u! Kuplay safe sex ni pamoja na kutumia kinga na kupima! So suala la hatari ya ukimwi linakuwa solved! Issue hapa ni kucheat responsibly! hahahaaa
Ukiwa muaminifu huwezi kupata mke wa aina hii! Wa aina hii ni wa wanaume waasherati tu!