mats_
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 398
- 296
mi sijui niseme vp...ila nakubali kwamba kitunguu saumu ni dawa moja nzuri sana...ila mimi nina situation hua inanishangaza sana:-
Nikitafuna vitunguu saumu (maybe vipande viwili adi vitatu) na papo hapo nikaenda kufanya mazoezi kama kawaida yangu hua sitokwi sana jasho tofauti na nikienda fanya mazoezi bila ya kutafuna hua natokwa sana jasho...
Kila nikiwaza hua inanishangaza sana najiuliza ni mimi tu / inawakuta na watu wengine na sjaeza kufatilia zaid ni kipi hasa / mwil hua unaingia kwnye situation gan ad inakua hvo..?
labda apa naeza pata mtazamo kutoka kwa wajuzi wengine...