Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

ndugu mimi nateseka sana na hivyo vitu, nimeshasali sana, nimelala na Bible, nimelala huku naskiliza Qur'an, nimelala na mfupa wa nguruwe, nimelala na vitunguu(atleast kinamsaada japo hakijamaliza tatizo),nimelala na masizi, nimesomewa Albadill, hadi nimeenda mara mbili kwa waganga lakini waaapi bado ni mandoto mabaya na kuona maluweluwe usiku, skuizi hata silali mpaka kichwa kinauma, hebu nishauri,.
Mungu wangu duu.ila naona kama umechanganya dozi nyingi sana kuna tatizo kubwa zaidi linalohitaji umakini zaidi
 
Very right namjua jamaa huyo anatumia kitunguu swaumu, mafuta ya zaituni na biblia vinginevyo sijui ila yule jamaa ni priceless lkn sijawahi kusikia kashindwa
Anafanyaje Sasa kutoa mapepo ? Au ukishakuwa na vitu hivyo tu basi pepo anacbomoka?
 
Thanks mkuu mshanajr na wadau wote mliojazia nyama kwenye uzii huu.

Naumia sana rohoni kusikia kwamba kuna mtu kila akiamka anatamani malaiki wazime mitandao ya kijamii,maarifa yapatikanayo jf ni zaidi ya vyuoni,sababu hapa jf watu huongea kutokana nu uzoefu wa jambo husika sio zile theory za maprofeseri wetu.

Sasa naanza mkakati wa kuikubalia nafsi yangu ili niwe mbeba mikoba mshanajr
 
Thanks mkuu mshanajr na wadau wote mliojazia nyama kwenye uzii huu.

Naumia sana rohoni kusikia kwamba kuna mtu kila akiamka anatamani malaiki wazime mitandao ya kijamii,maarifa yapatikanayo jf ni zaidi ya vyuoni,sababu hapa jf watu huongea kutokana nu uzoefu wa jambo husika sio zile theory za maprofeseri wetu.

Sasa naanza mkakati wa kuikubalia nafsi yangu ili niwe mbeba mikoba mshanajr
 
ndugu mimi nateseka sana na hivyo vitu, nimeshasali sana, nimelala na Bible, nimelala huku naskiliza Qur'an, nimelala na mfupa wa nguruwe, nimelala na vitunguu(atleast kinamsaada japo hakijamaliza tatizo),nimelala na masizi, nimesomewa Albadill, hadi nimeenda mara mbili kwa waganga lakini waaapi bado ni mandoto mabaya na kuona maluweluwe usiku, skuizi hata silali mpaka kichwa kinauma, hebu nishauri,.

Duuuh mkuu hii noma,

Umechanganya vyote hvyo aisee,
 
Hii ndio nimeprove, kuna kipindi niliona sipigi zile show za fally ipupa, mzee mmoja akanishauri hiyo kitu nilikuwa napiga vipande vyangu kumi kama ni vikubwa , kama ni vile vidogo namenya chote, then natwanga, nachukua na asali vijiko viwili vikubwa na mix na maji moto,,,, hapo ni asubuhi kabla hujapiga hata msawaki, nilifanya hilo zoezi mwezi mzima,, aiseeh baada ya hapo kila show lazima kari la fire lipaki mlangoni
hahahahaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom