Somo la kitunguu saumu: Nguvu yake, tiba na maajabu

Kwa kwel ilifka time ile asubu kama mwanaume lazma penis ifany erection but kwangu ckua na ktu cha namna hyo n huwa iki erect ni dakika then inasinyaa but for now i am normal like others men
Nimekupata mkuu wangu
 
Thanks mkuu mshanajr na wadau wote mliojazia nyama kwenye uzii huu.

Naumia sana rohoni kusikia kwamba kuna mtu kila akiamka anatamani malaiki wazime mitandao ya kijamii,maarifa yapatikanayo jf ni zaidi ya vyuoni,sababu hapa jf watu huongea kutokana nu uzoefu wa jambo husika sio zile theory za maprofeseri wetu.

Sasa naanza mkakati wa kuikubalia nafsi yangu ili niwe mbeba mikoba mshanajr

Mkuu Mwanadome, mitandao ikitumika kwa style hii hakika hata huyo anayetamani malaika washuke kuifungia atabadili mawazo yake. Tatizo linakuja pale inapotumika kwa style ile ya kubeza na kupinga kila kitu. Hapo ndipo inapofikia ya kusema "Not to that extent..."
Otherwise kwa namna hii mbona tunafaidika wengi sanaaa.
 
Msisahau kufanya na mazoezi jamani, mazoezi nayo ni tiba kubwa sana
 
Mkuu Mwanadome, mitandao ikitumika kwa style hii hakika hata huyo anayetamani malaika washuke kuifungia atabadili mawazo yake. Tatizo linakuja pale inapotumika kwa style ile ya kubeza na kupinga kila kitu. Hapo ndipo inapofikia ya kusema "Not to that extent..."
Otherwise kwa namna hii mbona tunafaidika wengi sanaaa.
Shukrani mkuu,kwa dunia ya sasa na kizazi hikii ni ngumu sana kuwapangia watu ni cha kuandika kwenye hii mitandao ya kijamii.

Cha msingi kiongozi mwenye maono hu focus kwenye maono yake tuu,maana vitendo vitaongea na si kushinda mitandaoni kupambana na wanao kubeza.
 
Ni kweli kabisa unachosema lakini vingine visipokuwa monitored & controlled, huweza kuleta madhara sana na matokeo yake anayehusika na asiyehusika wanaathirika wote, halafu lawama zitamrudia yule yule.
Anyway kwa kuwa uzi huu unaongelea issue nyingine, ngoja tuiache hii topic for now. Barikiwa lakini
 
Jamani Nina tatizo la vitiligo nitumie nn naomba msaada
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom