Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,302
- 11,637
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Leo Ni maadhimisho ya siku ya kudanga kitaifa
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Leo Ni maadhimisho ya siku ya kudanga kitaifa
Danga ni danga tu si wote wajasiriamali??Hili somo linahusu madanga ya kiume pia?
Sema yule anatafuta badala asubiri kutafutwa, akitafuta kidogo anaeza asipate faida raha ya kudanga ufuatwe babu weee
Kuna watu uwa wanapenda kwenda nje ya mada dah....mwenzio ajaandika kitu penziMapenzi hayana formula...Kitu alichokupendea nenda nacho icho icho..
Msingi kiuno
Kudanga nako kazi na kwa hakika inahitaji uvumilivu na akili kubwa sana
Sema nini Sky Eclat umechelewa kutoa somo apa nshakurupuka na nimeachwa 😭😭😭Sky Eclat, safi sana, inabidi wawekeze kwanza ndio baadae waanze kuchuma faida
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio maana yakeKwamba iwe biashara rasmi kabisa watu waweke na muda na resource zao si ndio??
Ukidanga rule no.one never fall in love..
Rule no two elewa type ya danga lako
Rule no three usikose back ups..
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo uwe spea tairi kwa mudaSema nini Sky Eclat umechelewa kutoa somo apa nshakurupuka na nimeachwa 😭😭😭
Asante kwa ushauriMsome vizuri danga ni mtu wa aina gani. Kama ni mfanya biashara, mwalimu, au fundi bomba basi tumia kifurushi chako ingia Wikipedia usome uelewe dunia ya danga ili mpate cha kuongea.
Usianze kumwaga shida kwa danga mpaka umuone amekolea na bila kukuona siku yake haiendi.
Kuwa wa kileo, nenda na trend za mjini. Angalia pia watu anao hang nao our. Ukianza kuvaa jeans mpasuko kwa danga la heshima utaharibu.
Wewe si mke, kamwe usiulize kwanini amechelewa au kwanini anaharaka, kumbuka kuwa wewe ni mjasirimali.