Somo kwa vijana kutoka katika kitabu cha Sira

Somo kwa vijana kutoka katika kitabu cha Sira

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
771
Reaction score
1,298
18:31 Usimpe nafsi yako ruhusa katika tamaa zako, ili usiwe aibu kwa wanao.
18:32 Usifurahie katika anasa nyingi, wala usitumbukie katika gharama kubwa za chakula.
18:33 Usifukarishwe kwa kukopa kwa gharama za anasa, maana wewe ukikopeshwa utakuwa mtumwa kwa wakopeshaji
19:1 Mfanyakazi mlevi hata tajirika, na yeye anayepuuza mambo madogo huanguka taratibu.
19:2 Pombe na wanawake huwafanya wenye akili kuwa wajinga.
19:3 Yeye anayeambatana na makahaba atakuwa mjinga.
20250710_141320.jpg
 
Nani huyo ambaye mwisho wake sio kuoza na kuliwa na wadudu???!! yesu, farao, muhhamad, mussa, yohana, suleiman wako wapi leo hii???
 
Mwenye macho na aone mwenye masikio na asikie,ukiisoma juu juu ni kama kichekesho lakini mwenye kuitafakari atagundua kuna ujumbe mzuri.
 
Mwenye macho na aone mwenye masikio na asikie,ukiisoma juu juu ni kama kichekesho lakini mwenye kuitafakari atagundua kuna ujumbe mzuri.
Ni ukweli unaohusu hali halisi ya mienendo yetu. Mwenyezi Mungu aturehemu, tubadili njia zetu.
 
Back
Top Bottom